Ni miezi mitatu sasa naenjoy maraha tele ya binti wa kitanzania aliye masomoni Netherland.
usiku tunajinafas vya kutosha kwa kuoneshana kila kitu.
Kwangu hoja ya distance relationship doesnt work ni kama hoja isiyo na mashiko.
Naenjoooooooooy!

Nakushauri ujitathmini vizuri, mimi nahisi una tatizo la kisaikolojia, kwani unachofanya na mpenzi wako kiko nje ya utaratibu wa kawaida, la sivyo kama mwafikiri ni ugunduzi basi nendeni brela/tcra mkaandikishe patent number ya huu uataratibu mpya wa ku enjoy sexual relations kupitia skype!!! Nawatakia kila la kheri katioka utaratibu wenu huo wa mahusiano, na utasdhangaa computer hackers wakiwanasa picha zenu zitatawanywa kwenye mitandao mpaka mshangae!!
haya mambo ya skype syaelew vzt,lakin hawez kupata hzo nude pictures zako na baadae yikatumka ktk namna hasi kwako(i mean kutumika negatively against u),its better being safe than sorry, smell something not very gud here!!!
we kweli zuzu#anakupiga picha kila siku huenda anazionyesha kwa wenzie jinsi ulivo zuzu
mwanamke sharti ajifunike utupu wakr hadi mkutane
huyo ni kimeo haswaaaaaa umepotea njia