Ananiomba Msamaha-ushauri wenu please

Ananiomba Msamaha-ushauri wenu please

Kwani unaoa kwa ajili ya ndugu zako au kwa ajili yako wewe na mapenzi yako? au kwa wazazi wake inahusu nini aibu?
Ndoa inaandikwa mbinguni kama mmeandikiwa kua pamoja hata muishi miaka 10 basi atakua mkeo japo usiku mmoja..
sasa basi mueke mwenyezi mungu mbele wala kumkatia simu sio kuonyesha kua umekasirika au aliyo kwambia hayana mana
ukiwa kama mwanamme kua na maamuzi mazima mweleze kama huna haja nae achukue ustarabu wake na asikusumbue
mapenzi hayalazimishwi asikuchoshe wala usimchoshe....
 
KULA MZIGO HUO NA UMTEME KAMA ALIVYOKUTEMA
Mwanamume ndio unatakiwa kuwa katili na sio yeye akufanyie hivyo na wazazi wanashangilia
MKURYA huyo
 
achana naye huyo kwa hiyo alikufanya wewe spare sasa hivi ndiyo anaona umuhimu wako achana nae
 
ukisoma betwwen lines kwenye last paragraph unaonekana kabisa unamtaka tena
 
kaka unajua wanawake ni kama vipepeo kila ua zuri wanataka kulifuata sasa huyo kapigika huko alipoenda sa anataka kurudi kwako we kula mgegedo then mbwage au nipasie hilo pande
 
kaka unajua wanawake ni kama vipepeo kila ua zuri wanataka kulifuata sasa huyo kapigika huko alipoenda sa anataka kurudi kwako we kula mgegedo then mbwage au nipasie hilo pande

poa kaka, pamoja sana.
 
kama mungu ndio alipanga huyo ndio atakuwa mke wako ndio itakuwa hivyo. sana sana ni kuchelewesha mambo tu.
 
fata moyo wako kama hujatosheka alokufanya mpe nafac akupe kubwa kuliko,kuwa na msimamo hapana rudia matapishi,unachezewa hisia umebung'aa tu. amkaa
 
kimeo hicho! wanawake kibao mjini kamata mwingine .......... huyo piga pu.mbu halafu pita hivi.

Grand PA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom