Ananinyanyasa kifikra,naombeni ushauri wenu plz

Ananinyanyasa kifikra,naombeni ushauri wenu plz

What doesn't kills makes me sponger huo ndio ushauri ninaouchulkua thanx kwa wengne kwa ushauri mlionipa though kuna wengne wameniandika vbaya eti mm dereva teksi poa lakin life goes on

Ungekua kwny ndoa ningeweza kukusapoti...lkn hii boyfriend na girlfriend......aaaggrrrr...disgusting...napata wasiwasi km ww ni mtoto wa kiume(kuna wanaume na watoto wa kiume)...labda una tabia za kimarioo hivyo unaamini akirudi kutoka masomoni atakulea!!!
 
habari za asubuhi wan jf,nilkuwa nampenzi wangu but so bad allikuwa na mwanaume mwingiine nikawa najua but akaniambia ni ex nw washaachana ila wanaendelea tu kuwasiliana kawaida but nothing is between them,nilimkanya aachane nae kbs hata mazungumzo hakusikia kwa kuwa nilikuwa nampenda nikawa siwezi kufanya uamuzi wowote na ukkaribu tuliokuwa nao,juzi amesafiri kwenda nje ya nchi kusoma akaniambia nimpitie mlimani city kwenda kumchukua then nimpeleke airport so bad kumbe kaenda kumuagga aliyokuwa mume mwenza nikatamani nimfuate nimchenjie yule mwanaume mwenzangu nikakumbukaa quote kwamba "mjanja hagombani kwa sababu ya demu" kama kaamua kufanya umalay basi nothing can stop her though nae ananipenda na hataki tuachane,basi nikapuuzia niakampeleka airport nikamtukana matusi kwa hasira achillia mabali hug hata mkono sikumpa kwa hasira nikasepa zangu from my heart nataka kuachana nae kabisa yaani simtaki kabisa katika mawzao yangu kama alishindwa kuwa mwaminifu dar itakuwa nje,sory kwa kuandika maeneo mengi but ni kwa ajili ya uchungu nw kila nikikaa nawaza siku niliyomuona na mume mwenza na nauimia sana tena sana plz nishaurini niini nifanye niweze kumsahau kbs huyu k****
thanx in advanvce

Najua nitawakera baadhi ila wacha me niseme tu, unajua SECOND HAND CLothes zinasumbua sana mpaka upeleke kwa fundi, fundi naye mizinguo mingi, japo ukibahatisha inayofiti inakuwa poa, but most of time SECOND HAND Z DA BIG CHALLENGER KWA WATUMIAJI, Kwa hiyo kama vipi mpotezeeeee!
 
fanya maamuzi ya kiume au tulia kama "kidumu" kinachohudumiwa na demu
 
what doesnt kill you makes you stronger.huna haja ya kuanza kujipa tabu na kujiumiza moyo kwa kumuwaza huyo ambaye wala hakua wa kwako.ushauri wangu ni kwamba simama na uanze maisha mapya acha kupoteza muda wa kumuwaza ambaye ana mtu mwingine anayemuwaza haswa huyo wa mlimani city.........ila mlimani city napo pamepata umaarufu siku hizi kwa yale mambo yetu.ila pole sana

Meeting point
 
Back
Top Bottom