Ananinyanyasa kifikra,naombeni ushauri wenu plz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ananinyanyasa kifikra,naombeni ushauri wenu plz

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mndengereko, Oct 9, 2012.

 1. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  habari za asubuhi wan jf,nilkuwa nampenzi wangu but so bad allikuwa na mwanaume mwingiine nikawa najua but akaniambia ni ex nw washaachana ila wanaendelea tu kuwasiliana kawaida but nothing is between them,nilimkanya aachane nae kbs hata mazungumzo hakusikia kwa kuwa nilikuwa nampenda nikawa siwezi kufanya uamuzi wowote na ukkaribu tuliokuwa nao,juzi amesafiri kwenda nje ya nchi kusoma akaniambia nimpitie mlimani city kwenda kumchukua then nimpeleke airport so bad kumbe kaenda kumuagga aliyokuwa mume mwenza nikatamani nimfuate nimchenjie yule mwanaume mwenzangu nikakumbukaa quote kwamba "mjanja hagombani kwa sababu ya demu" kama kaamua kufanya umalay basi nothing can stop her though nae ananipenda na hataki tuachane,basi nikapuuzia niakampeleka airport nikamtukana matusi kwa hasira achillia mabali hug hata mkono sikumpa kwa hasira nikasepa zangu from my heart nataka kuachana nae kabisa yaani simtaki kabisa katika mawzao yangu kama alishindwa kuwa mwaminifu dar itakuwa nje,sory kwa kuandika maeneo mengi but ni kwa ajili ya uchungu nw kila nikikaa nawaza siku niliyomuona na mume mwenza na nauimia sana tena sana plz nishaurini niini nifanye niweze kumsahau kbs huyu k****
  thanx in advanvce
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  duuuh umuache kwani ni wako huyo
  wewe ulishaachwa siku nyingi
  unatumika kaa boya tu hapo
   
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye red,kama moyo wako unataka maana yake umekwishaamua kuachana nae hivyo achana nae tu na huna haja ya ushauri na imekuwa vema zaidi kwako maana yupo mbali nawe hivyo suala la kumsahau linakuwa rahisi zaidi kuliko ambavyo angekuwa hapa.
  Siku nyingine ukipenda kuwa na msimamo utakuja fanya mume ***** siku moja.
   
 4. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  I knw it hurts bt ts the truth thenk yu
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hii yako Nayo Shughuli!!! Ngoja kwanza nimalizie lireport la huyu SUPER HANDSOME BOSS KISIRANI manake KESHANITIBUA ASUBUHI YOTE HII! (Ndo maana watu wanaloga kuwapumbaza maboss! Nyamafu!!!!) Nitarudi nikipoa!!!!
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  pole sana kiongozi, kimbia mapeema hapo
   
 7. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dogo, Usiwe mjinga..hapo huna chako. Wasichana mazuri na wanathamini mapenzi ya kweli wako wengi tuu. Achana na huo mzoga songa mbele na maisha yako. Utajuta saana ukibaki hapo..
   
 8. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Alishakuambia ni rafiki yake, kwani vibaya kumuaga rafiki ww vipi ebu punguza jazba na hasira, ungemkuta anamegwa si ungejinyonga.Kaa na mwenza wako muulize kwa utaratibu atakumbia ukweli...utakosa mke.
   
 9. KUN

  KUN JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kimbia fasta, hakuna mapenzi hapo tena vinginevyo utaendelea kuumia tu.
   
 10. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 580
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Wewe ulianza naye uhusiano lini, namaanisha muda gani tangua aachane na huyo anayekuambia ex wake?. Unatakiwa kufahamu kwamba wanawake huwa wanapenda kweli hivyo uhusiano kuvunjika huwa inachukua muda hasa km yy ndo alimwambia mwanaume tuachane (huyo aliyeambiwa tuachane akirudi kuomba radhi anaweza kusamehewa km bibie anampenda/alimpenda kwa dhati)

  Kwa mtizamo wangu ww ulikuwa mfariji katika kipindi cha mpito ila bibie bado anampenda ex wake, ulichotakiwa kufanya mwanzo ni kumshawishi asitishe mawasiliano na kujituma ili kuweza kuziba pengo aliloliacha huyo ex wake,kwa kuwa watu wakiacha bao kunakuwa na kumbukumbu ya mazuri waliyoshirikiana ww ungeatakiwa kufanya mazuri zaidi.
  Nakushauri mpotezee kwa muda na akikutafuta mwambie anavyokukwaza, iwapo hatakutafuta basi ndo umebaki na manyoya.
   
 11. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hakuna kitu kibaya kama kiumizacho mwili na roho,tupa huko huyo mchafu kama alikuwa na shida ya kuongea naye kwanini aliachana nae ukizidi kuendelea naye ipo siku utakasirika mpaka utamdhuru kifuatacho jelaaaaaaaaaaaaa.
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mh,siku hizi script zinaandikiwa mlimani city.
   
 13. dada white

  dada white JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Huyu k****???? Ulimanisha nin hapo kwenye nyota?
   
 14. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  babu apo tayari alimpelekea mchizi akaiage ,,na apo yawezekana alikuita makusudi ili ushuudie,,katoka kuagwa na mchizi.
   
 15. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ana hamu ya kuchunwa...toka mlimani city to airport tax sh ngapi? hapo hajatoa pocket money
  mwenzake kala kilaini kaendelea zake na shughuli za ofisi.ukute alisema airport anaita tax huyo mdada
   
 16. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Pole sana mwaya,usijali utamsahau anza na kufuta sms zake na jaribu kua busy na shughuli zako na ondoa mawasiliano na yeye na mueleze kua mpaka hapo alipokufikisha kukufanya wewe driver wake umeshatosheka,na uliambiwa wapo hukuambiwa yupo..........
   
 17. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kuwa makini hapo maana kuna mawili :-
  • Labda ni kweli ni rafiki yake, sema tu wewe ndio hujiamini tu. Maana inawezekana wakawa na urafiki mzuri na wasiwe wapenzi tena kama zamani. Labda niulize, huyo mwanaume naye ana mtu? je, anakuchangamkia kama shemeji akikuona au hampatani? Kuwa makini usije ukawa unamuhukumu mtoto wa watu buree.
  • Au la pili ni kuwa, anaweza akawa anakucheat kweli, kama huyo jamaa hana mtu wanaweza wakawa wana mambo yao. Na kama imefikia unamuita Girl wako "malaya" basi kuna kitu cha ziada unachokijua thats why umejiamini ukamuita hivyo

  Just, kuwa makini kwenye uamuzi, fuata moyo wako unasema nini ukiwa na ushahidi na sio kumuhukumu kwa kuhisi.
   
 18. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,368
  Trophy Points: 280
  Hahahahaa, unaonekana na wewe ni mkali kwenye hayo mambo ehh? LOL! [​IMG]
   
 19. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tatizo la hawa Warugaruga ni kujifanya mashujaa kunaaponza. Wanaingia mjini kwa pupa lazima wachunwe sana. Chezea weye!
   
 20. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mndengereko, wewe ni taxi dereva bana.
  Halafu jamaa aliambiwa, 'dont worry honey, nimeita tax, will miss you mwaaah baby. Take care ok...?'.
  Mndekereko bana, kusoma hujui hata kuangalia picha?
   
Loading...