Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,116
- 93,189
Hahahahahaha wee chizi kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]et ndio maana nilimuacha siku hiyohiyo[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikumegee siri
If I want a man I get him
Huyo mume wa mtu was purposely na ndio maana nilimuacha siku hio hio sijui kama hata unaelewa au unasoma kwa kujibu haraka haraka
Kama nilikuwa namtegemea ingenichukua muda sana kutoka kwake kwa taarifa tu
Mimi sijafika hata 36 [emoji5]lakini nadhani nikifika hapo pia nitamshukuru Mungu
Am trying to show you kuna vitu unajiaminisha unavijua ila huvijui
Anyway daktari upo department gani nitafute kiugonjwa nije[emoji28][emoji28],upo muhas au wapi?
Dooh kuna kuliwa mtu kimasihara hapaHahahahahaha wee chizi kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]et ndio maana nilimuacha siku hiyohiyo
Danganya toto hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa nikwamba, Wanawake mnaroho yenu yakipekee tu yenye huruma basi.
Ndio maana utajua kabisa mchizi fulan ni muhuni balaa, lkn bado mtoto wa kike utapelekea Upigwe risasi[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mengine njoo PM tuyajengee mwayaa, kama upo singida, nipokee leo nakuja huko
Maya Angelou unaona sasa, tumeanza unganishwa mdogomdogo , roho mbaya imebaki kwako tu.Dooh kuna kuliwa mtu kimasihara hapa
Hahahahahaha wee chizi kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]et ndio maana nilimuacha siku hiyohiyo
Danganya toto hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa nikwamba, Wanawake mnaroho yenu yakipekee tu yenye huruma basi.
Ndio maana utajua kabisa mchizi fulan ni muhuni balaa, lkn bado mtoto wa kike utapelekea Upigwe risasi[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mengine njoo PM tuyajengee mwayaa, kama upo singida, nipokee leo nakuja huko
Maya Angelou unaona sasa, tumeanza unganishwa mdogomdogo , roho mbaya imebaki kwako tu.
Nisaidie kumprove huyu jama kama yuko sahihi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi tusaidiane namie nijipatie Experience mamiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wewe kweli experience bado huna
Ooh mbona kama unakaribia karibia mwanza
Karibu mwanza tule masato kwa kujimwaga [emoji39]
Sindo hapo Maya [emoji23][emoji23]Mimi tena sinaga roho mbaya[emoji28][emoji28][emoji28]
Huku kuliwa kwa masihara kwani huwa kunaumiza jamani mbona watu wana uwivu hivyo[emoji3166]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi tusaidiane namie nijipatie Experience mamiii
Ewaaa kumbe Uko mwanza?
UnanisisimuaWala usiwaze experience tuu utaipata ili uongeze ujuzi[emoji6]
Wanawake wengine ni asexual. Nao unawahusisha au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .. Ona Maya, kuna siku hata wewe kama sijakosea, uliwah andika uzi, kua umefall kwa MUME WAMTU..na pia una mwingine
Nahisi ulikua unaomba ushauri ufanyeje???
BASI MAYA, KAMA WANAWAKE UNAOZUNGUMZIA NDIO AINA YAKO
amini nakuambia, hata wee ningekua sijajiweka wazi maisha yangu humu, ningekutongoza ungekubali tu kama kawaida[emoji23][emoji23]na ningekukula.
Wanawake WOTE CHINI YA JUA ,BILA KUJALI ASILI YAO..MNAPENDA "POWERFUL MEN "
Mfano...Msanii Diamond, anawala sio kwamba ana Pesa, bali Machoni kwenu Upowerful wake ni Umaarufu ..
Mwanaume mwengine, sio Maarufu ila upowerful wake upo kwa Pesa
Mwingine hana Pesa, ila Anajiamin, mwingine Anawonekano maridadi.
Kila mmoja, akijua ku exercise upowerful wake, ATAWALA MPAKA ATAANZA KUWAKIMBIA.
nyinyi sindo wanawake, mnaoweza tembea na mume wa mtu, sababu tu mkewe ambaye ni rafikio kakusimulia kua Mumewe anamikito ya ajabu? So unajilengesha ili uone yaliyomo??
MIMI NASEMA IVI, CHINI YA JUA, WANAWAKE MNAFANANA.
Nauliza, wanawake gan wewe unazungumzia???.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikumegee siri
If I want a man I get him
Huyo mume wa mtu was purposely na ndio maana nilimuacha siku hio hio sijui kama hata unaelewa au unasoma kwa kujibu haraka haraka
Kama nilikuwa namtegemea ingenichukua muda sana kutoka kwake kwa taarifa tu
Mimi sijafika hata 36 [emoji5]lakini nadhani nikifika hapo pia nitamshukuru Mungu
Am trying to show you kuna vitu unajiaminisha unavijua ila huvijui
Anyway daktari upo department gani nitafute kiugonjwa nije[emoji28][emoji28],upo muhas au wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo utakuwa unamtumia sms za kitoto
Eti otea leo kwetu tumekula nini
Huyu ukifuata ushauri wake uatengwa na ulimwengu wa mwili na rohoWe umbwa, unataka ushauri kitu huku ee , wacha afuate ushauri wako akaaibike
Chief samahani,šulichokiandika umeniandikia makusudi au umekosea kuniquote?We umbwa, unataka ushauri kitu huku ee , wacha afuate ushauri wako akaaibike