Ananiambia anataka

Hii ni muendelezo wa kile kisusumbe cha wakati ule au ni stori mpya...???
 

Hivi uko drs la ngapi vile tena... ni la 5 au 6 uliniambia?
 
We zinc nae unamatatizo

Ni kweli matatizo ninayo, ninavuta subira aliyekuwa mwandani wangu ajifungue ili niujue ukweli. Sasa d.u.d.u langu analitakia nini!!! Tumboo ukitaka d.u.d.u langu kwa hiari yako nitakupa na wala sitakuangusha wallah, lakini siyo huyu ambaye nimekosa imani nae, na yeye amekosa imani na mimi
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa afu umenikumbusha mbali sana etii umenikumbusha ile topic yako kuhus mimba kua eti ni mm usje ukawa unanizunguka kumbe unanizungumzia mm
 
Last edited by a moderator:
Mara mia nikupe wewe d.u.d.u ili tumalize tofauti zetu. Huyu mwingine ni shedaah
siku zote wajawazito huwa wanapenda kuduuuuu nadhani ili kupanua njia, so nduguyangu mpanue njia ili akuzalie mtoto vzr make unaweza ukadhani si wako kumbe ni wako, after all dudu si chaki kwamba itaisha ubaoni!!!!!!!!
 

Kwahyo siku hizi wanaume wanapata mimba? Na hao wanaume wanataka dudu lako??
 
So what? siku hizi kuna vijivulana vingi sana
 
Hutaki dushe itumike basi isimamishe utundikie koti
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…