Hivi man u anacheza na nani
Ndugu wana JF,
Aliyekuwa mpenzi wangu ambaye ana miezi kadhaa tangu apate ujauzito. Na ananisingizia mimi eti huo ujauzito ni wa kwangu, sasa nimekubali tu kwa shingo upande mpaka atakapo jifungua ili ukweli ujulikane. Ila amekuwa akinisumbua eti anahitaji d.u.d.u langu, mi nimekuwa nikikataa kwa sababu zangu mwenyewe.
Wadau kweli nimeamini wanawake ni wasumbufu balaa, I'm tired with this guys
stoke city
Najua mmefunga shule hembu kazana kwenda tuisheniSiyo kwamba ni vp!!!
Mi simtaki
stoke city
Siyo kwamba ni vp!!!
Mi simtaki
Mpe dudu hilo.. umeambiwa ni sabuni kusema litaisha
Mpe dudu hilo.. umeambiwa ni sabuni kusema litaisha
saa ngapi sijaona game kitambo sana