kweyamba_dave JF-Expert Member Joined Oct 2, 2012 Posts 961 Reaction score 484 Jan 2, 2014 #21 "bro baadae nakuja kuangalia picha ulizopiga beach MIAMI"
Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Jan 2, 2014 #22 Jamaa_Mbishi said: Ndugu mtalii karibu kwetu Tanzania bwana. Japo wewe si Mtanzania ila naona Bongo movie inakufaa sana wewe kwa usanii ulionao. Click to expand... Mimi kiboko yako nimeona umeanza kunikubali sema tu kukiwa na watu unauwa soooo!!!
Jamaa_Mbishi said: Ndugu mtalii karibu kwetu Tanzania bwana. Japo wewe si Mtanzania ila naona Bongo movie inakufaa sana wewe kwa usanii ulionao. Click to expand... Mimi kiboko yako nimeona umeanza kunikubali sema tu kukiwa na watu unauwa soooo!!!
Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 Jan 3, 2014 #23 tundu ; naona na ustadhi mwenzio mmekunja miguu tafkiri mwasubiri biliani,,hehe jk ; hehe acha zako mbona wew umekuja na magazeti kama mjumbe wa nyumba kumi
tundu ; naona na ustadhi mwenzio mmekunja miguu tafkiri mwasubiri biliani,,hehe jk ; hehe acha zako mbona wew umekuja na magazeti kama mjumbe wa nyumba kumi
TUKUTUKU JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 11,763 Reaction score 4,048 Jan 3, 2014 #24 MALI YA BABA said: Vipi Slaa yupo wapi! Click to expand... Ujisikii raha mbaka umtaje Dr Slaa!