Hivi sisi baadhi ya kina dada wanamatatizo gani? Wewe unafahamu vizuri kuwa jamaa ni mume wa mtu na bado unawatangazia watu kwamba atamuacha akuowe wewe. Unauhakika gani kwamba atamuacha mke wake wa zaidi ya miaka 15 na watoto 3 akuowe wewe?
Kuna dada kanikuna kweli aliponiletea kadi ya mchango eti anaolewa wakati jamaa bado anaishi na mkewe. Tatizo dem hajui wife ndiye mwenye mali, there is no way that guy is going to divorce his wife.
Naomba ushauri wa jinsi ya kumshawishi aachane na huyu jamaa kwani he's making her a laughing stock na watu wanamsema lakini hakuna anayetaka kumwambia ukweli.
nani kakudanganya kuwa hawezi kumuacha mkewe? kwanza mianamike iliyoolewa ndio yenye mibichwa migumu. believe atamuacha na atamuoa dogodogo na from there maisha yanakuwa tambarare!!!!!!!!!!!!!
nipe namba ya huyo dada nitawasiliana nae mambo yatakuwa safi
nipe namba ya huyo dada nitawasiliana nae mambo yatakuwa safi
shemeji ya nini tena
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh
what dia
shemeji ya nini tena
no ya nn?kwann usimwambie anipe mm mama dev/lulu ili niongee nae?
HAHAHAHAH!
Ina maana akishaolewa huyo dogodogo anabakia dogodogo tu na sio jiamke liloolewa?
Wacha kutuchekesha bana! Ujue, huyo mke atakayeachwa ili huyo dogo wako aolewe, at one point in life alikuwa dogodogo plus na si ajabu huyo wa kwako akawa si mali kitu! Tumeyaona sana.Tena kibaya zaidi, huyo atakayeolewa baada, ana kazi kubwa maana tayari kuna benchmarks......
nilitaka nimfanyie maombi yakumfungua roho ananishuhudia ana pepo
mmmh upako umetoa wapi na lini ,, pacha wangu hajaniambia hilo