Anamkuwadia wifi yake kwa wanaume wengine

Anamkuwadia wifi yake kwa wanaume wengine

Koh Koh koh


KOH.jpg
 
Huyo dada mtu anakazi gani? I mean ni shughuli gani inamuingizia kipato?
 
Aiseee mashambulio yakuzuru mwili ndio kusema yamepungua kwenye jamiii ama ndio yameisha kabisa _________ Zubaa tu
 
wanaume wengine sijui wakoje...yani hilo nalo ndio akakufuata eti hajui afanyeje... huyo dada yake hata kama kamzidi miaka 50 hawezi kuingilia ndoa ya mdogo wake, sasa ye si amkaripie tu, amfokee tena ampe onyo kama ustaarabu umemshinda akae mbali na mke wake na familia yake kiujumla....
undugu sio sababu ya kuvuruga ndoa ya mtu...
 
Huyo rafiki yako yumo humu jf?? Mbona mnaleta mambo ya ajabu jamani? Kakuomba ushauri unakuja kwetu?? Haya mwambiye, kumkomesha na yeye amtafutie wanawake shemejiye

Mkuu punguza jazba
 
Back
Top Bottom