dickdickinyo
Senior Member
- May 19, 2015
- 118
- 53
kama makofi hawezi .. aanze kurusha ngumi mzipige kiume yaniii
Mmmmmmmmmmmmmh
ndiyo maana yakeUmeonaee yani hapa mi nina hasira mbaya utafikili mimi ndio yamenikuta yani sister ndio anafanyie hivi!
Mimi mwenyewe ndiyo nimeshangaa na roho yangu eti kiumri ni mkubwa hahahahaHawezi kumuita na kumkanya tabia yake?! After all heshima kajivunjia mwenyewe kwa kumkuwadia mke wa kaka yake,adabu hana hata kama ana mvi!
Rafiki yangu ananilalamikia kuwa dada yake mkubwa anamtafutia mkewe wanaume.Amemkanya lakini anaendelea.Jamaa hajui afanye maamuzi gani maana kiumri dada yake amemzidi sana.Hata kumchapa makofi hawezi.

Wanawake walio wengi wanasiri mingi mno, Anakuja rafiki ya mke wako kabisa unaye muheshimu kabisa na unamjua hadi mume wake ila ndo anakuja kwa gia ya kumuombea wife ruhusa amsindikize mahali kuna kidume kumepakiwa mahali...Jioni wanarudi wote tena hm...Unakuta mwanaume anacheka cheka tu hajui kitu