dickdickinyo
Senior Member
- May 19, 2015
- 118
- 53
Rafiki yangu ananilalamikia kuwa dada yake mkubwa anamtafutia mkewe wanaume.Amemkanya lakini anaendelea.Jamaa hajui afanye maamuzi gani maana kiumri dada yake amemzidi sana.Hata kumchapa makofi hawezi.