Analysis: Republic vs Mange Kimambi

Analysis: Republic vs Mange Kimambi

Masamila

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
6,505
Reaction score
7,465
JE SERIKALI YA TANZANIA ITAFANIKISHA KUMNASA MWANA DADA MANGE KIMAMBI?

Soma tafadhali tujifunze kitu

Siku kadhaa tumepata sikia, IGP Simon Siro akisema jeshi la polisi linatambua makosa ya kimtandao yanayofanywa na mwadada mange kimambi na wanayashughulikia huku mitandaoni kumekuwa na maswali mengi watu wakijiuliza kama sheria yetu ya mtandao (cyber crime act, No 14 ya 2015) kama inawahusu walio nje ya nchi au laa wengi ne wakijiuliza kama ni ya kimataifa au laa.

Ukiisoma sheria hii ya mtandao ya 2015 kifungu cha 30(1)d "mahakama ina nguvu ya kushughulikia kosa lilofanywa na raia wa nchi hiyo hata kama akiwa nje ya nchi, kama kosa hilo linatazamwa kama kosa katika sheria za nchi husika"

Kwa ujumla tuseme sheria hii inaweza kumuhusu hata Raia aliye nje ya Tanzania.

Tuanzie hapo Mange kimambi ni Mtanzania au mmarekani Mange kimambi sio mmarekani ni Mtanzania, ila ni mkazi wa marekani (US Resident) wengine wanasema anaishije kwa Visa hapana, visa ni pass ya muda ya mtu kuingia marekani na kukaa kwa kipindi fulani kifupi cha Muda, hivyo Mange kimambi hatumii visa anatumia Green Card hii ni permit inayomfanya Raia ambaye sio wa marekani kuomba hii kwa kuonesha supporting documents na kulipia ada ,hii unaruhusiwa kukaa ndani ya miaka 10,unaruhusiwa ku renew miezi sita kabla ya mwaka wa kumi(kabla ya expire date).hufanywa na idara ya USCIS (united state citizens and immigration services).

Hivyo tunamalizia kusema *Mange ni Mtanzania*ila ni mkazi wa marekani kupitia Green card.

Vipi kukamatwa kwake?.

Sheria ya ndani kusema ina muhusu hata Mtanzania aliye nje ,haitoshi ila huenda sambamba na sheria za kimataifa (international law).kuna sheria ya kimataifa inaitwa extraterritorial Jurisdiction uwezo wa nchi kumshtaki mtuhumiwa aliyenje.,ambapo zimegawanyika kuna "passive personality principle of jurisdiction" ,kuna universal principle of jurisdiction, na pia kuna Nationality principle of extraterritorial jurisdiction sasa Mange kimambi hii Nationality principle of Extraterritorial jurisdiction ina muhusu, kwanini?

Hii nationality principle ,ni aina ya sheria ya kimataifa inatoa haki kwa nchi fulani kushtaki Raia aliyetenda kosa la kihalifu nje ya nchi hiyo ila likawa na athari kwa Raia ya nchi hiyo fulani.mange ametenda kosa la mtandao akiwa US ambalo kosa hilo lina athari kwa Tanzania, Tanzania kisheria inaruhusiwa kwenda kumkamata ila.tuelewane hapa.

Katika sheria za kimataifa na Uhuru wa nchi husika,nchi hairuhusiwi kumkabidhi mhalifu au mtu aliyekosa katika nchi ya nje sababu kila nchi ina mamlaka ya Raia walio ndani ya nchi yake *Mange kimambi yupo chini ya mamlaka ya nchi ya marekani*

Ndio maana ili kupunguza mamlaka ya nchi juu ya raia wote waliondani ya nchi hiyo,nchi inayotaka kumkamata raia kutoka nchi ya nje lazima wawe wameingia makubaliano(mkataba) unaitwa *Bilateral extradition treaties*, .extradition nini ,ni hali ya nchi moja kuomba nchi fulani kuruhusu muhusika au raia wake aliyetenda kosa apelekwe kushtakiwa katika nchi hiyo(Tanzania inamuomba mange kutoka marekani).pia inahusu aliyeshtakiwa akakimbia ,aliyeshakiwa akiwa huko nje,au ambaye bado hajashtakiwa ila ametenda kosa.

Tanzania sijui kama imewahi ingia mkataba wa *extradition treaties*na marekani,hata kama bado katiba ya marekani na marekebisho yake ya 1996 ,18 USC,3181 na 3184 inaruhusu kukubali extradition kusafirishwa kwa mtu au mtuhumiwa bila hata extradition treaties (bila mkataba).

Ila sio asafirishwe kizembe kuna mchakato wake.

Mchakato ni serikali ya Tanzania, kutuma maombi ya kukamatwa kwa Mange kimambi katika ubalozi marekani (country embassy) ,ubalozi unapeleka maombi hayo US department of state,chini ya mwanasheria katika ofisi ya idara ya sheria na ushauri inapitia madai kwa undani zaidi ushahidi wa nchi unapotaka kumkamata muhusika huyo lazima maombi yawe na ushahidi wa kutosha pia idara hiyo inapitia madai hayo zaidi na kuangalia kitu kinaitwa *Dual criminality* or double criminality kwamba lazima kosa alilolifanya Mange TZ na kule liwe kosa.

Kosa alilofanya Mange la kimtandao TZ na marekani linatakiwa liwe kosa likitafsiriwa.sasa najua mnajua namna gani marekani wanaruhusu Uhuru wa maoni na kujieleza zaidi.kama hakuna Dual criminality hapo maombi ya kumkamata yanakataliwa,na kutupiliwa mbali.

JE ,MAOMBI YA TANZANIA KUMUOMBA MANGE MAREKANI ,JE MAKOSA HAYO TANZANIA NDIO MAKOSA MAREKANI? (jibu baki nalo wewe,mimi naendelea)

Tuchukulie kwa ugumu,Mange atakutwa na kosa ,katika hayo maombi (extradition demands),idara hiyo itapeleka maombi hayo kwa OIA (original request justice department of international Affairs) na idara hii itaangalia maombi haya na ushahidi kama unatosheleza au laa,baada ya kujiridhisha maombi hayo yatatumwa kwenda united States Attorney's office judicial district, katika ofisi ya mwanasheria wa ukanda anapoishi muhalifu au raia anaye takiwa.

Ofisi hii ya mwanasheria wa kanda anayoishi raia anayetakiwa itapewa mamlaka ya kumkamata mtakiwa(Mange kimambi) atakamatwa na kupelekwa mahakamani atasikilizwa juu ya shutma dhidi ya nchi inayomtaka na majaji( extradition judges)ili kuamua maombi ya nchi inayomtaka mtuhumiwa kumsafirisha au laa.

Mahakama ikijiridhisha mtu huyu kweli ametenda kosa mahakama inaandika order ya extraditability na kuandika taarifa yake inayotumwa kwa Secretary of state.ambaye ndiye mtoa maamuzi ya mwisho achukuliwe au asichukuliwe.

Ofisi hiyo ikikubali muhusika anayetakiwa anachukuliwa na kusafirishwa katika nchi anayotakiwa.

ila nchi nyingi zinapata kikwazo maombi yao ya kumkamata mtu katika nchi Fulani kukataliwa kwa sababu hizi chini

1.maombi hayo kukeuka haki za binadamu(violating the fundamentals of human right.,mfano.mange kimambi anashtumiwa kuandika mitandaoni kusema na kutukana viongozi, kwao wanaweza tafsiri huu ni Uhuru wa kujieleza ,na kutoka maoni hivyo kumkamata ni kuvunja haki za Uhuru wa kujieleza.

2.kosa katika maombi kutokuwa na mfanano wa kosa hilo kwa nchi zote.(failing to fulfil Dual criminality) kosa la kutukana mtandaoni,kutukana viongozi pia liwe kosa marekani kuwa kutukana viongozi mtandao marekani ni kosa,

3.aina ya adhabu inayoenda kutolewa kama ni ya kifo,au ya kutesa (death punishment or inhuman and torturing punishment),lazima maombi hayo yaseme kutokana na kosa lake ni adhabu gani inaenda kutolewa,sasa hapa Mange adhabu yake akikamatwa Mimi sijui.

4.Sifa ya kosa au uhalifu huo wa kisiasa(political nature alleged crime)

Kuna sababu nyingi hizi ni chache.

Hivyo kwa Mchakato unaweza hitimisha mwenyewe wapi maombi ya Tanzania yatapata kizuizi. Kutokana na Tafsiri ya makosa hayo marekani.

Pia nitakuja elezea ,kuwa mange anaweza omba hifadhi ya kisiasa marekani inaitwa political asylum hata kuanzia sasa anaweza.

Shukran wote.
 
*JE SERIKALI YA TANZANIA ITAFANIKISHA KUMNASA MWANA DADA MANGE KIMAMBI*?

*soma tafadhali tujifunze kitu*

Siku kadhaa tumepata sikia ,IGP Simon Siro akisema *jeshi la polisi linatambua makosa ya kimtandao yanayofanywa na mwadada mange kimambi na wanayashughulikia*huku mitandaoni kumekuwa na maswali mengi watu wakijiuliza kama sheria yetu ya mtandao(cyber crime act ,No 14 ya 2015) kama inawahusu walio nje ya nchi au laa wengi ne wakijiuliza kama ni ya kimataifa au laa.

Ukiisoma sheria hii ya mtandao ya 2015 kifungu cha 30(1)d "mahakama ina nguvu ya kushughulikia kosa lilofanywa na raia wa nchi hiyo hata kama akiwa nje ya nchi, kama kosa hilo linatazamwa kama kosa katika sheria za nchi husika"

Kwa ujumla tuseme sheria hii inaweza kumuhusu hata Raia aliye nje ya Tanzania.

Tuanzie hapo *Mange kimambi ni Mtanzania au mmarekani*mange kimambi sio mmarekani ni Mtanzania ,ila ni mkazi wa marekani(US Resident)wengine wanasema anaishije kwa *Visa*hapana,visa ni pass ya muda ya mtu kuingia marekani na kukaa kwa kipindi fulani kifupi cha Muda,hivyo Mange kimambi hatumii visa anatumia *Green Card* hii ni permit inayomfanya Raia ambaye sio wa marekani kuomba hii kwa kuonesha supporting documents na kulipia ada ,hii unaruhusiwa kukaa ndani ya miaka 10,unaruhusiwa ku renew miezi sita kabla ya mwaka wa kumi(kabla ya expire date).hufanywa na idara ya USCIS(united state citizens and immigration services).

Hivyo tunamalizia kusema *Mange ni Mtanzania*ila ni mkazi wa marekani kupitia Green card.

*Vipi kukamatwa kwake*?.

Sheria ya ndani kusema ina muhusu hata Mtanzania aliye nje ,haitoshi ila huenda sambamba na sheria za kimataifa (international law).kuna sheria ya kimataifa inaitwa *extraterritorial Jurisdiction* uwezo wa nchi kumshtaki mtuhumiwa aliyenje.,ambapo zimegawanyika kuna "passive personality principle of jurisdiction" ,kuna universal principle of jurisdiction, na pia kuna *Nationality principle of extraterritorial jurisdiction* sasa Mange kimambi hii Nationality principle of Extraterritorial jurisdiction ina muhusu, kwanini?

Hii nationality principle ,ni aina ya sheria ya kimataifa inatoa haki kwa nchi fulani kushtaki Raia aliyetenda kosa la kihalifu nje ya nchi hiyo ila likawa na athari kwa Raia ya nchi hiyo fulani.mange ametenda kosa la mtandao akiwa US ambalo kosa hilo lina athari kwa Tanzania, Tanzania kisheria inaruhusiwa kwenda kumkamata ila.tuelewane hapa.

Katika sheria za kimataifa na Uhuru wa nchi husika,nchi hairuhusiwi kumkabidhi mhalifu au mtu aliyekosa katika nchi ya nje sababu kila nchi ina mamlaka ya Raia walio ndani ya nchi yake *Mange kimambi yupo chini ya mamlaka ya nchi ya marekani*

Ndio maana ili kupunguza mamlaka ya nchi juu ya raia wote waliondani ya nchi hiyo,nchi inayotaka kumkamata raia kutoka nchi ya nje lazima wawe wameingia makubaliano(mkataba) unaitwa *Bilateral extradition treaties*, .extradition nini ,ni hali ya nchi moja kuomba nchi fulani kuruhusu muhusika au raia wake aliyetenda kosa apelekwe kushtakiwa katika nchi hiyo(Tanzania inamuomba mange kutoka marekani).pia inahusu aliyeshtakiwa akakimbia ,aliyeshakiwa akiwa huko nje,au ambaye bado hajashtakiwa ila ametenda kosa.

Tanzania sijui kama imewahi ingia mkataba wa *extradition treaties*na marekani,hata kama bado katiba ya marekani na marekebisho yake ya 1996 ,18 USC,3181 na 3184 inaruhusu kukubali extradition kusafirishwa kwa mtu au mtuhumiwa bila hata extradition treaties (bila mkataba).

Ila sio asafirishwe kizembe kuna mchakato wake.

Mchakato ni serikali ya Tanzania, kutuma maombi ya kukamatwa kwa Mange kimambi katika ubalozi marekani (country embassy) ,ubalozi unapeleka maombi hayo US department of state,chini ya mwanasheria katika ofisi ya idara ya sheria na ushauri inapitia madai kwa undani zaidi ushahidi wa nchi unapotaka kumkamata muhusika huyo lazima maombi yawe na ushahidi wa kutosha pia idara hiyo inapitia madai hayo zaidi na kuangalia kitu kinaitwa *Dual criminality* or double criminality kwamba lazima kosa alilolifanya Mange TZ na kule liwe kosa.

Kosa alilofanya Mange la kimtandao TZ na marekani linatakiwa liwe kosa likitafsiriwa.sasa najua mnajua namna gani marekani wanaruhusu Uhuru wa maoni na kujieleza zaidi.kama hakuna Dual criminality hapo maombi ya kumkamata yanakataliwa,na kutupiliwa mbali.

*JE ,MAOMBI YA TANZANIA KUMUOMBA MANGE MAREKANI ,JE MAKOSA HAYO TANZANIA NDIO MAKOSA MAREKANI?*(jibu baki nalo wewe,mimi naendelea)

Tuchukulie kwa ugumu,Mange atakutwa na kosa ,katika hayo maombi (extradition demands),idara hiyo itapeleka maombi hayo kwa OIA (original request justice department of international Affairs) na idara hii itaangalia maombi haya na ushahidi kama unatosheleza au laa,baada ya kujiridhisha maombi hayo yatatumwa kwenda united States Attorney's office judicial district, katika ofisi ya mwanasheria wa ukanda anapoishi muhalifu au raia anaye takiwa.

Ofisi hii ya mwanasheria wa kanda anayoishi raia anayetakiwa itapewa mamlaka ya kumkamata mtakiwa(Mange kimambi) atakamatwa na kupelekwa mahakamani atasikilizwa juu ya shutma dhidi ya nchi inayomtaka na majaji( extradition judges)ili kuamua maombi ya nchi inayomtaka mtuhumiwa kumsafirisha au laa.

Mahakama ikijiridhisha mtu huyu kweli ametenda kosa mahakama inaandika order ya extraditability na kuandika taarifa yake inayotumwa kwa Secretary of state.ambaye ndiye mtoa maamuzi ya mwisho achukuliwe au asichukuliwe.

Ofisi hiyo ikikubali muhusika anayetakiwa anachukuliwa na kusafirishwa katika nchi anayotakiwa.

*ila nchi nyingi zinapata kikwazo maombi yao ya kumkamata mtu katika nchi Fulani kukataliwa kwa sababu hizi chini*

1.maombi hayo kukeuka haki za binadamu(violating the fundamentals of human right.,mfano.mange kimambi anashtumiwa kuandika mitandaoni kusema na kutukana viongozi, kwao wanaweza tafsiri huu ni Uhuru wa kujieleza ,na kutoka maoni hivyo kumkamata ni kuvunja haki za Uhuru wa kujieleza.

2.kosa katika maombi kutokuwa na mfanano wa kosa hilo kwa nchi zote.(failing to fulfil Dual criminality) kosa la kutukana mtandaoni,kutukana viongozi pia liwe kosa marekani kuwa kutukana viongozi mtandao marekani ni kosa,

3.aina ya adhabu inayoenda kutolewa kama ni ya kifo,au ya kutesa (death punishment or inhuman and torturing punishment),lazima maombi hayo yaseme kutokana na kosa lake ni adhabu gani inaenda kutolewa,sasa hapa Mange adhabu yake akikamatwa Mimi sijui.

4.Sifa ya kosa au uhalifu huo wa kisiasa(political nature alleged crime)

Kuna sababu nyingi hizi ni chache.

Hivyo kwa Mchakato *unaweza hitimisha mwenyewe wapi maombi ya Tanzania yatapata kizuizi*. Kutokana na Tafsiri ya makosa hayo marekani.

Pia nitakuja elezea ,kuwa mange anaweza omba hifadhi ya kisiasa marekani inaitwa *political asylum* hata kuanzia sasa anaweza.

Shukran wote.
Mtajuana wenyewe
 
Kama ndo hizo ngazi zote zipitiwe basi ni ngumu sana kumkamata huyo dada. Maana tunaona TRUMP kila siku anatukanwa lakini watu hawashitakiwi. Hivyo kikwazo ni kwamba anayoyafanya Mange ni makosa kwa Tanzania lakini si USA.
 
Sisi tulivyovilaza tutaanzia wapi kuwa na sheria zenye kufanana na Marekani, kisiasa, kiuhuru, kibinadamu na mengine inshort hawawezi kumchukua ata kwa mkuki..!

Green card siyo kwamba mtu anashinda kuchagua kuwa raia wa Marekani kwa utashi wake na siyo kibali cha kuishi marekani kwa miaka 10..!
 
Sioni kama yuko Smart, angeweza kuikosoa serikali bila ya kuweka matusi wala kumtukana Raisi. By the way kuna matendo kayafanya hivi karibuni naona kapoteza confidence kwa wadau wake na hii inaonyesha kuwa anakosa Mbinu imara kuelekea katika malengo yake.
 
Masamila anajua alichoandikia. Ila kama kawaida yao wahusika huenda wakabeza angalizo hili. Mbona wanabeza ICCPR ambayo Tz inasemekana kuiridhia?
 
JE SERIKALI YA TANZANIA ITAFANIKISHA KUMNASA MWANA DADA MANGE KIMAMBI?

Soma tafadhali tujifunze kitu

Siku kadhaa tumepata sikia, IGP Simon Siro akisema jeshi la polisi linatambua makosa ya kimtandao yanayofanywa na mwadada mange kimambi na wanayashughulikia huku mitandaoni kumekuwa na maswali mengi watu wakijiuliza kama sheria yetu ya mtandao (cyber crime act, No 14 ya 2015) kama inawahusu walio nje ya nchi au laa wengi ne wakijiuliza kama ni ya kimataifa au laa.

Ukiisoma sheria hii ya mtandao ya 2015 kifungu cha 30(1)d "mahakama ina nguvu ya kushughulikia kosa lilofanywa na raia wa nchi hiyo hata kama akiwa nje ya nchi, kama kosa hilo linatazamwa kama kosa katika sheria za nchi husika"

Kwa ujumla tuseme sheria hii inaweza kumuhusu hata Raia aliye nje ya Tanzania.

Tuanzie hapo Mange kimambi ni Mtanzania au mmarekani Mange kimambi sio mmarekani ni Mtanzania, ila ni mkazi wa marekani (US Resident) wengine wanasema anaishije kwa Visa hapana, visa ni pass ya muda ya mtu kuingia marekani na kukaa kwa kipindi fulani kifupi cha Muda, hivyo Mange kimambi hatumii visa anatumia Green Card hii ni permit inayomfanya Raia ambaye sio wa marekani kuomba hii kwa kuonesha supporting documents na kulipia ada ,hii unaruhusiwa kukaa ndani ya miaka 10,unaruhusiwa ku renew miezi sita kabla ya mwaka wa kumi(kabla ya expire date).hufanywa na idara ya USCIS (united state citizens and immigration services).

Hivyo tunamalizia kusema *Mange ni Mtanzania*ila ni mkazi wa marekani kupitia Green card.

Vipi kukamatwa kwake?.

Sheria ya ndani kusema ina muhusu hata Mtanzania aliye nje ,haitoshi ila huenda sambamba na sheria za kimataifa (international law).kuna sheria ya kimataifa inaitwa extraterritorial Jurisdiction uwezo wa nchi kumshtaki mtuhumiwa aliyenje.,ambapo zimegawanyika kuna "passive personality principle of jurisdiction" ,kuna universal principle of jurisdiction, na pia kuna Nationality principle of extraterritorial jurisdiction sasa Mange kimambi hii Nationality principle of Extraterritorial jurisdiction ina muhusu, kwanini?

Hii nationality principle ,ni aina ya sheria ya kimataifa inatoa haki kwa nchi fulani kushtaki Raia aliyetenda kosa la kihalifu nje ya nchi hiyo ila likawa na athari kwa Raia ya nchi hiyo fulani.mange ametenda kosa la mtandao akiwa US ambalo kosa hilo lina athari kwa Tanzania, Tanzania kisheria inaruhusiwa kwenda kumkamata ila.tuelewane hapa.

Katika sheria za kimataifa na Uhuru wa nchi husika,nchi hairuhusiwi kumkabidhi mhalifu au mtu aliyekosa katika nchi ya nje sababu kila nchi ina mamlaka ya Raia walio ndani ya nchi yake *Mange kimambi yupo chini ya mamlaka ya nchi ya marekani*

Ndio maana ili kupunguza mamlaka ya nchi juu ya raia wote waliondani ya nchi hiyo,nchi inayotaka kumkamata raia kutoka nchi ya nje lazima wawe wameingia makubaliano(mkataba) unaitwa *Bilateral extradition treaties*, .extradition nini ,ni hali ya nchi moja kuomba nchi fulani kuruhusu muhusika au raia wake aliyetenda kosa apelekwe kushtakiwa katika nchi hiyo(Tanzania inamuomba mange kutoka marekani).pia inahusu aliyeshtakiwa akakimbia ,aliyeshakiwa akiwa huko nje,au ambaye bado hajashtakiwa ila ametenda kosa.

Tanzania sijui kama imewahi ingia mkataba wa *extradition treaties*na marekani,hata kama bado katiba ya marekani na marekebisho yake ya 1996 ,18 USC,3181 na 3184 inaruhusu kukubali extradition kusafirishwa kwa mtu au mtuhumiwa bila hata extradition treaties (bila mkataba).

Ila sio asafirishwe kizembe kuna mchakato wake.

Mchakato ni serikali ya Tanzania, kutuma maombi ya kukamatwa kwa Mange kimambi katika ubalozi marekani (country embassy) ,ubalozi unapeleka maombi hayo US department of state,chini ya mwanasheria katika ofisi ya idara ya sheria na ushauri inapitia madai kwa undani zaidi ushahidi wa nchi unapotaka kumkamata muhusika huyo lazima maombi yawe na ushahidi wa kutosha pia idara hiyo inapitia madai hayo zaidi na kuangalia kitu kinaitwa *Dual criminality* or double criminality kwamba lazima kosa alilolifanya Mange TZ na kule liwe kosa.

Kosa alilofanya Mange la kimtandao TZ na marekani linatakiwa liwe kosa likitafsiriwa.sasa najua mnajua namna gani marekani wanaruhusu Uhuru wa maoni na kujieleza zaidi.kama hakuna Dual criminality hapo maombi ya kumkamata yanakataliwa,na kutupiliwa mbali.

JE ,MAOMBI YA TANZANIA KUMUOMBA MANGE MAREKANI ,JE MAKOSA HAYO TANZANIA NDIO MAKOSA MAREKANI? (jibu baki nalo wewe,mimi naendelea)

Tuchukulie kwa ugumu,Mange atakutwa na kosa ,katika hayo maombi (extradition demands),idara hiyo itapeleka maombi hayo kwa OIA (original request justice department of international Affairs) na idara hii itaangalia maombi haya na ushahidi kama unatosheleza au laa,baada ya kujiridhisha maombi hayo yatatumwa kwenda united States Attorney's office judicial district, katika ofisi ya mwanasheria wa ukanda anapoishi muhalifu au raia anaye takiwa.

Ofisi hii ya mwanasheria wa kanda anayoishi raia anayetakiwa itapewa mamlaka ya kumkamata mtakiwa(Mange kimambi) atakamatwa na kupelekwa mahakamani atasikilizwa juu ya shutma dhidi ya nchi inayomtaka na majaji( extradition judges)ili kuamua maombi ya nchi inayomtaka mtuhumiwa kumsafirisha au laa.

Mahakama ikijiridhisha mtu huyu kweli ametenda kosa mahakama inaandika order ya extraditability na kuandika taarifa yake inayotumwa kwa Secretary of state.ambaye ndiye mtoa maamuzi ya mwisho achukuliwe au asichukuliwe.

Ofisi hiyo ikikubali muhusika anayetakiwa anachukuliwa na kusafirishwa katika nchi anayotakiwa.

ila nchi nyingi zinapata kikwazo maombi yao ya kumkamata mtu katika nchi Fulani kukataliwa kwa sababu hizi chini

1.maombi hayo kukeuka haki za binadamu(violating the fundamentals of human right.,mfano.mange kimambi anashtumiwa kuandika mitandaoni kusema na kutukana viongozi, kwao wanaweza tafsiri huu ni Uhuru wa kujieleza ,na kutoka maoni hivyo kumkamata ni kuvunja haki za Uhuru wa kujieleza.

2.kosa katika maombi kutokuwa na mfanano wa kosa hilo kwa nchi zote.(failing to fulfil Dual criminality) kosa la kutukana mtandaoni,kutukana viongozi pia liwe kosa marekani kuwa kutukana viongozi mtandao marekani ni kosa,

3.aina ya adhabu inayoenda kutolewa kama ni ya kifo,au ya kutesa (death punishment or inhuman and torturing punishment),lazima maombi hayo yaseme kutokana na kosa lake ni adhabu gani inaenda kutolewa,sasa hapa Mange adhabu yake akikamatwa Mimi sijui.

4.Sifa ya kosa au uhalifu huo wa kisiasa(political nature alleged crime)

Kuna sababu nyingi hizi ni chache.

Hivyo kwa Mchakato unaweza hitimisha mwenyewe wapi maombi ya Tanzania yatapata kizuizi. Kutokana na Tafsiri ya makosa hayo marekani.

Pia nitakuja elezea ,kuwa mange anaweza omba hifadhi ya kisiasa marekani inaitwa political asylum hata kuanzia sasa anaweza.

Shukran wote.
mkuu, wala usiumize kichwa kwenye hili. ni utoto tu unaoendelea hapa.

kama kweli serekali ingekuwa na uwezo wa kumkamata Mange, Siro asingetoa povu lile.
povu ni dalili za mtu anayelalamika asijue la kufanya, siyo mwenye uwezo.
ile ni tactic ya serekali kutaka kumtishia nyau Mange ili kumstopisha asiendelee kuanika anayoyaanika.
it was a good try, Mr Siro!

Mange hawezi kurudi Tanzania chini ya awamu hii ya 5 - iwe kwa hiari au kwa kulazimishwa.
serekali haina uwezo wa kumrejesha Mange Tanzania kwani sheria inayotumika ni "draconic".
USA or any other western democracy don't subscribe to such dehumanizing laws!

besides, USA can't go any extra mile for TZ after what happened in Z'bar...remember MCC's pull-out? that's a pointer!
also, not after what TZ has done (or is doing) to Barrick.... nadhani wote mnajua Barrick ni lijidude gani!
 
Mpaka hapo ni vigumu kumtia hatiani kwa njia yoyote katika hizo ulizoandika.

Naona kama moja wapo yenye nguvu tayari umeandika mwishoni kabisa, political asylum.
 
umejuaje kama anatumia green card na sio raia wa marekani,tupe ushahidi.pia umejuaje kama alivyoolewa na mzungu hakuchuka kabisa uraia wa mume wake wakati wanaishi hukohuko
 
Sioni kama yuko Smart, angeweza kuikosoa serikali bila ya kuweka matusi wala kumtukana Raisi. By the way kuna matendo kayafanya hivi karibuni naona kapoteza confidence kwa wadau wake na hii inaonyesha kuwa anakosa Mbinu imara kuelekea katika malengo yake.
Jana kamtukana sana Magufuli na wanaume kiujumla na kuongea utumbo huku akisema kisa amelewa ila baadaye anakuja kudai et account yake ili hackiwa.
 
mwache atutukane wanaume... tunastahili kabisa.
wanaume wote Tanzania ni makondoo, kasoro mwanaume mmoja tu shoka - Tundu Lissu!
Kama Tundu Lissu anakufanya uuone uwanaume wake basi pia tambua na wengine tunaowaonesha uwanaume wetu hivyo nao wanatuona wanaume,usifikiri wote tupo kama wewe ambaye hadi sasa hukuna aliyeuona uwanaume wako(kama kweli wewe ni jinsia ya kiume) na kuishia kumsifia Tundu Lissu ndiyo pekee mwanaume.
 
hahaaaa!
taratibu utaelewa somo.
kwa kuanzia, nionyeshe mwanamume aliyepokea risasi zaidi ya 30 mwilini na akaishi.
 
watu na mapovu yao daaa yani mnaandika utadhani mashindano ya essay au insha
 
JE SERIKALI YA TANZANIA ITAFANIKISHA KUMNASA MWANA DADA MANGE KIMAMBI?

Soma tafadhali tujifunze kitu

Siku kadhaa tumepata sikia, IGP Simon Siro akisema jeshi la polisi linatambua makosa ya kimtandao yanayofanywa na mwadada mange kimambi na wanayashughulikia huku mitandaoni kumekuwa na maswali mengi watu wakijiuliza kama sheria yetu ya mtandao (cyber crime act, No 14 ya 2015) kama inawahusu walio nje ya nchi au laa wengi ne wakijiuliza kama ni ya kimataifa au laa.

Ukiisoma sheria hii ya mtandao ya 2015 kifungu cha 30(1)d "mahakama ina nguvu ya kushughulikia kosa lilofanywa na raia wa nchi hiyo hata kama akiwa nje ya nchi, kama kosa hilo linatazamwa kama kosa katika sheria za nchi husika"

Kwa ujumla tuseme sheria hii inaweza kumuhusu hata Raia aliye nje ya Tanzania.

Tuanzie hapo Mange kimambi ni Mtanzania au mmarekani Mange kimambi sio mmarekani ni Mtanzania, ila ni mkazi wa marekani (US Resident) wengine wanasema anaishije kwa Visa hapana, visa ni pass ya muda ya mtu kuingia marekani na kukaa kwa kipindi fulani kifupi cha Muda, hivyo Mange kimambi hatumii visa anatumia Green Card hii ni permit inayomfanya Raia ambaye sio wa marekani kuomba hii kwa kuonesha supporting documents na kulipia ada ,hii unaruhusiwa kukaa ndani ya miaka 10,unaruhusiwa ku renew miezi sita kabla ya mwaka wa kumi(kabla ya expire date).hufanywa na idara ya USCIS (united state citizens and immigration services).

Hivyo tunamalizia kusema *Mange ni Mtanzania*ila ni mkazi wa marekani kupitia Green card.

Vipi kukamatwa kwake?.

Sheria ya ndani kusema ina muhusu hata Mtanzania aliye nje ,haitoshi ila huenda sambamba na sheria za kimataifa (international law).kuna sheria ya kimataifa inaitwa extraterritorial Jurisdiction uwezo wa nchi kumshtaki mtuhumiwa aliyenje.,ambapo zimegawanyika kuna "passive personality principle of jurisdiction" ,kuna universal principle of jurisdiction, na pia kuna Nationality principle of extraterritorial jurisdiction sasa Mange kimambi hii Nationality principle of Extraterritorial jurisdiction ina muhusu, kwanini?

Hii nationality principle ,ni aina ya sheria ya kimataifa inatoa haki kwa nchi fulani kushtaki Raia aliyetenda kosa la kihalifu nje ya nchi hiyo ila likawa na athari kwa Raia ya nchi hiyo fulani.mange ametenda kosa la mtandao akiwa US ambalo kosa hilo lina athari kwa Tanzania, Tanzania kisheria inaruhusiwa kwenda kumkamata ila.tuelewane hapa.

Katika sheria za kimataifa na Uhuru wa nchi husika,nchi hairuhusiwi kumkabidhi mhalifu au mtu aliyekosa katika nchi ya nje sababu kila nchi ina mamlaka ya Raia walio ndani ya nchi yake *Mange kimambi yupo chini ya mamlaka ya nchi ya marekani*

Ndio maana ili kupunguza mamlaka ya nchi juu ya raia wote waliondani ya nchi hiyo,nchi inayotaka kumkamata raia kutoka nchi ya nje lazima wawe wameingia makubaliano(mkataba) unaitwa *Bilateral extradition treaties*, .extradition nini ,ni hali ya nchi moja kuomba nchi fulani kuruhusu muhusika au raia wake aliyetenda kosa apelekwe kushtakiwa katika nchi hiyo(Tanzania inamuomba mange kutoka marekani).pia inahusu aliyeshtakiwa akakimbia ,aliyeshakiwa akiwa huko nje,au ambaye bado hajashtakiwa ila ametenda kosa.

Tanzania sijui kama imewahi ingia mkataba wa *extradition treaties*na marekani,hata kama bado katiba ya marekani na marekebisho yake ya 1996 ,18 USC,3181 na 3184 inaruhusu kukubali extradition kusafirishwa kwa mtu au mtuhumiwa bila hata extradition treaties (bila mkataba).

Ila sio asafirishwe kizembe kuna mchakato wake.

Mchakato ni serikali ya Tanzania, kutuma maombi ya kukamatwa kwa Mange kimambi katika ubalozi marekani (country embassy) ,ubalozi unapeleka maombi hayo US department of state,chini ya mwanasheria katika ofisi ya idara ya sheria na ushauri inapitia madai kwa undani zaidi ushahidi wa nchi unapotaka kumkamata muhusika huyo lazima maombi yawe na ushahidi wa kutosha pia idara hiyo inapitia madai hayo zaidi na kuangalia kitu kinaitwa *Dual criminality* or double criminality kwamba lazima kosa alilolifanya Mange TZ na kule liwe kosa.

Kosa alilofanya Mange la kimtandao TZ na marekani linatakiwa liwe kosa likitafsiriwa.sasa najua mnajua namna gani marekani wanaruhusu Uhuru wa maoni na kujieleza zaidi.kama hakuna Dual criminality hapo maombi ya kumkamata yanakataliwa,na kutupiliwa mbali.

JE ,MAOMBI YA TANZANIA KUMUOMBA MANGE MAREKANI ,JE MAKOSA HAYO TANZANIA NDIO MAKOSA MAREKANI? (jibu baki nalo wewe,mimi naendelea)

Tuchukulie kwa ugumu,Mange atakutwa na kosa ,katika hayo maombi (extradition demands),idara hiyo itapeleka maombi hayo kwa OIA (original request justice department of international Affairs) na idara hii itaangalia maombi haya na ushahidi kama unatosheleza au laa,baada ya kujiridhisha maombi hayo yatatumwa kwenda united States Attorney's office judicial district, katika ofisi ya mwanasheria wa ukanda anapoishi muhalifu au raia anaye takiwa.

Ofisi hii ya mwanasheria wa kanda anayoishi raia anayetakiwa itapewa mamlaka ya kumkamata mtakiwa(Mange kimambi) atakamatwa na kupelekwa mahakamani atasikilizwa juu ya shutma dhidi ya nchi inayomtaka na majaji( extradition judges)ili kuamua maombi ya nchi inayomtaka mtuhumiwa kumsafirisha au laa.

Mahakama ikijiridhisha mtu huyu kweli ametenda kosa mahakama inaandika order ya extraditability na kuandika taarifa yake inayotumwa kwa Secretary of state.ambaye ndiye mtoa maamuzi ya mwisho achukuliwe au asichukuliwe.

Ofisi hiyo ikikubali muhusika anayetakiwa anachukuliwa na kusafirishwa katika nchi anayotakiwa.

ila nchi nyingi zinapata kikwazo maombi yao ya kumkamata mtu katika nchi Fulani kukataliwa kwa sababu hizi chini

1.maombi hayo kukeuka haki za binadamu(violating the fundamentals of human right.,mfano.mange kimambi anashtumiwa kuandika mitandaoni kusema na kutukana viongozi, kwao wanaweza tafsiri huu ni Uhuru wa kujieleza ,na kutoka maoni hivyo kumkamata ni kuvunja haki za Uhuru wa kujieleza.

2.kosa katika maombi kutokuwa na mfanano wa kosa hilo kwa nchi zote.(failing to fulfil Dual criminality) kosa la kutukana mtandaoni,kutukana viongozi pia liwe kosa marekani kuwa kutukana viongozi mtandao marekani ni kosa,

3.aina ya adhabu inayoenda kutolewa kama ni ya kifo,au ya kutesa (death punishment or inhuman and torturing punishment),lazima maombi hayo yaseme kutokana na kosa lake ni adhabu gani inaenda kutolewa,sasa hapa Mange adhabu yake akikamatwa Mimi sijui.

4.Sifa ya kosa au uhalifu huo wa kisiasa(political nature alleged crime)

Kuna sababu nyingi hizi ni chache.

Hivyo kwa Mchakato unaweza hitimisha mwenyewe wapi maombi ya Tanzania yatapata kizuizi. Kutokana na Tafsiri ya makosa hayo marekani.

Pia nitakuja elezea ,kuwa mange anaweza omba hifadhi ya kisiasa marekani inaitwa political asylum hata kuanzia sasa anaweza.

Shukran wote.
Hii ni Rubbish(In Tundu Lissu's Voice)
Mange amekwenda extra mile(amewaovertake) kwani ameshafile issue yake na vyombo vya usalama vya US(FBI) kuhusu harakati zake dhidi ya serikali ya Tz akipigania Freedom of Speech....kwa marekani swala mtu anayepigania freedom of speech akiwa ugenini na kisha mnaomba(serikali) arudishwe nyumbani Tz hili aje afunguliwe mashtaka ni Rubbish(In Tundu Lissu's Voice)
 
hahaaaa!
taratibu utaelewa somo.
kwa kuanzia, nionyeshe mwanamume aliyepokea risasi zaidi ya 30 mwilini na akaishi.
Kwani kupigwa risasi 30 na kwenda kuishia hospitali ndiyo uwanaume?

Sasa hapo uwanaume ni upi?
 
Back
Top Bottom