anasikitikia man u haipo uefa
Bulldog sio ishu kabisa...
Kwani arsenal mmefungwa si eti eeeeh????
Hatujafungwa, nani kakudanganya??
Kaenda kuliwa na fisi uduna park
Eti kuna mtu alinidanganya eti jumapili mlifungwa sijui na man sijui city ila sikumbuki vizuri
Bulldog sio ishu kabisa...
Eti kuna mtu alinidanganya eti jumapili mlifungwa sijui na man sijui city ila sikumbuki vizuri
Mpe tishu babu yako.
kwi kwi kwi