Analazimisha nimuoe

Mkue makin uko insta watu wanawanywea wenzao mikojo kabsa
 
Sema ivi amenionjesha vitu sijawahi onjaaaaaaaaaaa,usizunguke kutuzuga,kama kweli ulikua umerogwa umekwenda kwa sheikh na kwengine baada ya kupona ukarejea tena sasa huoni kama yamekukolea uliopewa? grow up Son!!!...
 
Baada ya kumtongoza mi nikampotezea but yey akaanza kunisumbua kila sik kwenye sim.alipoanza kuja geto kuliwa nikamula tu kwa mda mlefu mwisho tukazoeana,sielew ni kwann bado naendelea kwake na roho inaniuma kumuacha saiv ila kuoa moyo unagoma
Hebu tofautisha kutongoza siriaz na kwa UTANI
 
Aseeh pole mkuu,..kujinasua apo mwambie tu ukweli kua huna nia ya kumwoa na kama kwenda kwa wazaz usiende,..we ni victim kweny u uhusiano, unatakiwa uisimamie nafsi yako,LA sivyo utalishwa kitu usichokitaka...kila LA heri
Mimba je
 
Umetumwa na ukoo ukasome unaanza kujichanganya na uzinzi...haya ni lazima uvune ulichopanda....
 
Reactions: SDG
Umetumwa na ukoo ukasome unaanza kujichanganya na uzinzi...haya ni lazima uvune ulichopanda....
 
Reactions: SDG
nimefatilia majibu ya huyu bwana nimegundua
1.dishi liko chini ya mparachichi

2. haelewi anataka nini?, anakili alisha mshauri kutoa mimba. hayuko tayari kuwa na mtoto na huyo dada wala ajajipa muda wa kumfahamu

chakukushauri, nenda kawasikilize wazee kama kuoa ngumu basi kubali kuhudumia mwanao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…