Namba iko wapi?Shukran
Ni kweli unayosema lakin before I do anything with this girl I told her that I have already married and I told her that if she come to me she must take care of her menstruation cycle in order to avoid the probability of getting pregnancy. Kifup mahusiana yetu yalikuwa na mipaka ,Dah hakuna kitu kinaniuma kama kusoma thread kama hizi aisee. Binti wa watu tunawatia mimba kisha tunawatelekeza.
Dah...
enyi mabinti wa JF mtakaosoma hapa...kwa mtini mjifunze! Siwezi kuwakataza kuzini lakini jueni kuna haya...na mzigo (na lawama ya jamii) inabaki kwenu. Vidole mtanyoshewa nyie na maneno yote mabaya ilhali kijana akiendelea kuponda raha.
Hebu oneni huyu ni kijana msomi (amesema anasoma Hurbert Kairuki) lakini naye anataka kuchangia wingi wa watoto wasio na wazazi wao.
Vijana wa kiume kwa wake hebu tujitahidi kupunguza idadi za watoto hawa..wanaobaki basi wawe waliotokana na mzazi kufariki.
It is not fun at all....inaniuma sana!
Wadogo zangu na dada zangu wa kike..KWA MTINI MJIFUNZE!
Ni kweli unayosema lakin before I do anything with this girl I told her that I have already married and I told her that if she come to me she must take care of her menstruation cycle in order to avoid the probability of getting pregnancy. Kifup mahusiana yetu yalikuwa na mipaka ,
Kumbe umeshaoa......?Ni kweli unayosema lakin before I do anything with this girl I told her that I have already married and I told her that if she come to me she must take care of her menstruation cycle in order to avoid the probability of getting pregnancy. Kifup mahusiana yetu yalikuwa na mipaka ,
Sjajua but anaish kwao na anasoma college flan ivHivi unajisikia unachosema lakini?
kwa hiyo ulikuwa unalala na kahaba?
Unasema kweli mkuu .dem mwenyewe anagoma kuchomoa hiyo embryo. Nimetumia psychological ideas and speech but nothing changedKumbe umeshaoa......?
1.na mkeo huko alipo akifanyiwa hivyo hivyo ungejisikiajr..?
2.degree/diploma(coz sijui ni ipi kati hiyo) tu unafanya hayo je ungekwenda nje kuongeza elimu itakuaje...?
3. Na naamini mkeo alikuwa anakuja kukutembelea hapo magetoni na alikuwa anakupa haja ya moyo wako (akirudi we una vuta nyingine unabamiza halafu unajiona kijari) ileee hiyo ni yako
NAONA DALILI YAKUMLAZIMISHA HUYO DADA AKATOE MIMBA... RIP DOGO JANJA MAYBE ANGEKUWA RAIS WETU AJAYE
I'm very sory to my wife. But skutarajia niwe katika hali hiiKumbe umeshaoa......?
1.na mkeo huko alipo akifanyiwa hivyo hivyo ungejisikiajr..?
2.degree/diploma(coz sijui ni ipi kati hiyo) tu unafanya hayo je ungekwenda nje kuongeza elimu itakuaje...?
3. Na naamini mkeo alikuwa anakuja kukutembelea hapo magetoni na alikuwa anakupa haja ya moyo wako (akirudi we una vuta nyingine unabamiza halafu unajiona kijari) ileee hiyo ni yako
NAONA DALILI YAKUMLAZIMISHA HUYO DADA AKATOE MIMBA... RIP DOGO JANJA MAYBE ANGEKUWA RAIS WETU AJAYE
Mwanaume wa kweli hakosi cha kufanya,tuliza akili weekend hii then pata uamuzi wako...Mkuu alaf ujue wewe ni Kaka yetu sijui u atufunza nini.Unasema kweli mkuu .dem mwenyewe anagoma kuchomoa hiyo embryo. Nimetumia psychological ideas and speech but nothing changed
[emoji2] [emoji2] [emoji2]We dawa zishakolea inaonekana..Hata tukikushauri utaenda kutusemea kwa demu wako
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ndo mana Magu kawajegea Hostel mnatekwa sana na hao wazaramo hapo Dar., Na mlivyo mbumbumbu wa mapenzi mnazamishwa mnapotea kbsa mnaanza kusingizia dawa mara majini ., ni kwamba mmekolezwa mkakolea tu..!!
Rudi hostel, kazana na shule wazazi wako wanalala njaa huko Kolomije achana na mabinti wa kizaramo...!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Muoe kiutani kama ulivyomtongoza kiutani kisha mzae na kulea watoto kiutani.
I feel sory for yo family(kama hili ni kweli).Unasema kweli mkuu .dem mwenyewe anagoma kuchomoa hiyo embryo. Nimetumia psychological ideas and speech but nothing changed