moses john choyo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 214
- 150
- Thread starter
-
- #21
Daaa hapo pagumJiue mkose wote
HaaaaHata yeye anakutania tu mkuu, usiwaze[emoji23][emoji23]
Peace[emoji111][emoji111]
Baada ya kumtongoza mi nikampotezea but yey akaanza kunisumbua kila sik kwenye sim.alipoanza kuja geto kuliwa nikamula tu kwa mda mlefu mwisho tukazoeana,sielew ni kwann bado naendelea kwake na roho inaniuma kumuacha saiv ila kuoa moyo unagomaJibu maswali haya kwanza kabla ya ushauri:
Kwanini umtanie kumtongoza alaf uwe nae kwenye mahusiano?
Kwanini baada ya kuombewa ukamrudia tena?
Nilimshirikisha mama yang akanishauri niwe na iman tu,na moyo unaniuma kumuacha ila pia unakataa kumuoaHabar wana jf ? .Mim ni mwanafunz wa chuo kikuu hapa dar .mwaka Jana nilikutana na bint ambaye anaishi mazingira karib na nilipopanga nikamwaproch kimatani akanikubalia.tukaendelea na mahusiano ila ilipofika mwez wa tano mwaka Jana yule bint akaanza kuja usk kwang tofaut na zaman alipokuwa akija jion baada ya Mim kutoka chuon .kutokana na ubize wa masomo ya afya chuon Mim nilikuwa bize sana sikuwaza nn nia yake, alikuja kama siku tatu mfululizo usik na kurud asbuh kwao ila Siku ya nne akaniambia kama ninataka aendelee kuja Usk nikajitambulishe kwao Mim nikachukulia poa nkamwambia ntajitambulisha mwez wa kumi na moja ,mwanzo nilichukulia kujitambulisha ni simple yaan wanifaham jina na sura tu ila ilipokaribia mwez wa kumi na moja akaniambia nikitaka kwenda niende na barua ya uchumba ,daa kiukweli nilichanganyikiwa af istoshe hom kwao walianza kunifaham.bas nikaamua kuextend muda nikamwambia labda mwaka huu ili achoke tu kunisubr lakin cha kushangaza hakuchoka na mapenz yakanoga sana ila baadae nilistuka coz nilijikuta nikimgharamikia sana mpaka nikahis kuna kitu ,wiki kadhaa baadae nikinapita njian nikakutana na mama wa makamo anayeish karib na yule bint ila hakujua kuwa ninamahusiano na yule bint akaanza kuniasa sana juu ya mabint wa mtaa huu kuwa weng wanatumia dawa za mapenz.ndipo akanieleza kuhus familia anapoish yule bint ni moja ya watumiaj bas kutokana na ndoto za majin nilizokuwa nimeanza kuota nikahis kuna ukweli nikaenda kuombewa ni kweli nilipandisha kwa mchungaj na shehe hali ikatulia nikamuacha yule bint baada ya kupona ila baada ya wiki tukarudiana tena.wiki hii ameniambia anaujauzito Wang ila Mim kwa hiyo anataka niende nyumban kwao .bado namzungusha ila siwez kumuoa nitazid kumzungusha .sasa nyumban kwao wameniita naomben ushaur niende au nisiende na nifanye nn?
A.kairukiMwanafunzi wa chuo kikuu?!
Eagle wings au?
Wewe ni kichaa.. Hutaki kumuoa alafu unaumia kumuacha.Nilimshirikisha mama yang akanishauri niwe na iman tu,na moyo unaniuma kumuacha ila pia unakataa kumuoa
Umeongea kiutani ila umegusa ukweli familia zinatutegemea sana nikikumbuka maisha ya home huwa napata nguvu kusoma kwa bidiiNdo mana Magu kawajegea Hostel mnatekwa sana na hao wazaramo hapo Dar., Na mlivyo mbumbumbu wa mapenzi mnazamishwa mnapotea kbsa mnaanza kusingizia dawa mara majini ., ni kwamba mmekolezwa mkakolea tu..!!
Rudi hostel, kazana na shule wazazi wako wanalala njaa huko Kolomije achana na mabinti wa kizaramo...!!
Unamuuma kumuacha haaaaaa kweli hizo dawa zimekuingiaNilimshirikisha mama yang akanishauri niwe na iman tu,na moyo unaniuma kumuacha ila pia unakataa kumuoa
Mkuu umejuaje natoka kolomije ?ni kwel mwanza ndo homNdo mana Magu kawajegea Hostel mnatekwa sana na hao wazaramo hapo Dar., Na mlivyo mbumbumbu wa mapenzi mnazamishwa mnapotea kbsa mnaanza kusingizia dawa mara majini ., ni kwamba mmekolezwa mkakolea tu..!!
Rudi hostel, kazana na shule wazazi wako wanalala njaa huko Kolomije achana na mabinti wa kizaramo...!!
Habar wana jf ? .Mim ni mwanafunz wa chuo kikuu hapa dar .
ShukranLete namba usaidiwe majukumu ili usilielie hapa JF.
Halafu wewe kaza na kitabu usije ukafeli mwisho wa siku ukashindwa kuendelea na masomo.
Kwa muda huu mapenzi ndoa siyo lazima kwako mdogo wangu ila Elimu ni lazima sana.jitahidi kuwa na nidhamu na adabu kwa wazazi wako wanakusomesha jombaa!