moses john choyo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 214
- 150
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We dawa zishakolea inaonekana..Hata tukikushauri utaenda kutusemea kwa demu wako
Fact...Ndo mana Magu kawajegea Hostel mnatekwa sana na hao wazaramo hapo Dar., Na mlivyo mbumbumbu wa mapenzi mnazamishwa mnapotea kbsa mnaanza kusingizia dawa mara majini ., ni kwamba mmekolezwa mkakolea tu..!!
Rudi hostel, kazana na shule wazazi wako wanalala njaa huko Kolomije achana na mabinti wa kizaramo...!!
Sure broo.... I like thatWe dawa zishakolea inaonekana..Hata tukikushauri utaenda kutusemea kwa demu wako