Analazimisha kunioa

Do you love me? Tell me u ar read nikuoe
He unioe mimi😲😯😯😯
IYakuwa ndoa mpya kabisa ya kuanzia Africa. Mimi nna kambwa kangu.
Basi gazeti la nipashe litaandika hivi

MWanaune mmoja mkazi wa dasalamu aolewa na kimbwa chake. Mwoaji akiwa ni boss mama mmoja kwa jina la To yeye mkazi wa JF mkoani Dasalamu
 
Achana naye akaoe m2 mwingine wewe utaolewa na mwenye uwezo wa kutunza majukumu ya familia.
Asikuchanganye bwana
Alaaa
Duh, utakuwa li singo maza wewe! Siyo kwa gubu hilo yaani kiufupi unatamani mfanane! Mwache mwenzio aolewe bwana!
 
Kuna unacho mpendea huenda ana visenti, sasa usimpotezee muda kijana wa watu mwambie tu sipo tayari kuolewa na wewe afuate hamsini zake.
 
Naziona dalili zote za kuishia kwenye usingo maza! Endeleza huo ujinga wako utakuja ulie! Siku ukikosa wa kukuoa ndipo utakumbuka!
 
Hakuna kitu kigum Kama kumshauri mwanamke aolewe au asiolewe.
Shida ni kuwa mkifika miaka 30+ hata watongozaji huwa tunaogopa kuwatongoza tunajua mmeshaolewa tayari sasa nisije kukushauri usiolewe alafu ukose mume jumla

Hilo lijamaa ukiliambia hutaki kuolewa Kama anania ya kuoa kweli hamalizi miezi 6 anaoa mwanamke mwingine, ila fata moyo wako wewe ndo unamjua Kama hafai achana nae usije kuteseka bure
 
Atabadilika tu huyo.
 
Kama umeona dalili mbaya mapema stay aside ndoa sio majaribio utakuja kupata tabu ..Izo tabia zitakuwa mbaya mara mbili atakapoanza kukuchoka ..Mteme mapema usimpotezee muda usije kula hela zake na yuko kitengo utapigwa bastola.
 
Jamaa yupo sahihi , miaka 35 Kwa mwanaume anasubir nini kuwa na familia kama hueleweki mwambie amove on na sio kumpotezea mda , na wewe pia upo kwenye alarming age , miaka 28 Kwa binti too old ....!! Unasita sita kitu gan , ukifikisha miaka 30 utaolewa na mibaba iliyoachika yenye watoto wakubwa , mwisho wa sku kuja kurumbana kwneye urithi, unampotezea mda mwenzako mwambie ili ajue Hana mtu atafte binti mwingine aoe Kwanza amekuheshimu Sana , wahuni wengine huwa tunachukua maamzi kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…