anakula nini?

Kitimoto kiboko ya majamaa fulani
 
Anakula mdudu aka Noah.
Mgomvi wa watu haumuusu kbs yeye anapiga.
 
Hamna nyama tamu kama hiyo ndio maana ikaitwa najisi

Ukishaonja huwezi kuacha na bei yake ni kubwa kushida nyama zote buchani
 
Hiyo ni nyama muhimu sana kwa wau muhimu
 
+Huyu si Sepetunga huyu au macho yangu,
Maana nasikia yeye yupo kwenye ile imani ya wanaokataza noah
 

Astakafirulahi.... mtoto wa kiislam hawezi kula nguruwe
 
Hii kitu siku hizi haina dini. Ata maustadhi wanagonga kama kawa
 
mnaacha kushangaa mchungaji kubaka mtoto mnashangaa wema kupiga kiti moto, hivi huyo wema anafanya mangapi ambayo yamekatazwa na dini yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…