Huyo Mama anamatatizo anafikiri kwa umri huo huyo jamaa anashindwa kutongoza mpaka akusubiri wewe uje umtongozee akili finyu sana hii.
Huyo rafiki yako nae huyo mwanamke toka wako wachumba alikuwa halioni hilo la kuwa controled na mwanamke akalizuia mapema??
Namuonea huruma huyo mwanaume maana navyojua mimi mwanamke akipata nafasi mwanaume atajuta ni mara 1000000000000 ya mwanaume kuwa hivyo.
Msaidie mwenzio mpe mwongozo kabisa hata umsindikize kwa mshenga maana inaweza kuwa hata huko anakatazwa kwenda.
Hapo kweli hakufundwa na kungwi!ila kwawanaume wa sasa naona hiyo inafaa zaidi!!
ila we mwanamke naongea na ww, heshimu marafiki za mumeo bila marafiki unafikiri kesho na kesho kutwa mnapata taabu itakuaje???
naongea na ww mwanamke, "niwako akiwa kwako akiwa nje si wako" utakufa bure na pressure lol!!!
au lbd mwenzetu umepata mume mwenye mtarimbo wa dhahabu??? Ama kweli kungwi wako aliyekufunda kala hasara!!!!
Hayo yote unayoshauri dada Afro yalishafanyika, ila mke kawa kichwa ngumu!Dah
Yaelekea huyo mwanamke
She is insecure kuhusu kitu fulani..
lakini nacho shauri huyo rafiki yako
anatakiwa amwonyeshe mkewe nani ni baba wanyumba
asiwe lelemama sana
Akaechini na mkewe na kumueleza anachofanya si vema..
ajaribu kumwambia mkewe je ni vipi kama yeye
Akikatazwa kwenda salon au kuonana na marafiki zake?
Amwambi e mkewe ndoa si jela wanatakiwa wafurahie maisha
ya wao kuwa wawili ..
na ndoa bila ndugu, jamaa na marafi ni ndoa ya upweke..
Dah!! Kwahiyo huyu mwanamke ana tabia ya ujeuri kiasi kwamba hadi wazazi wanaimfahamu vizuri na walimtahadharisha jamaaYaani huyu jamaa hadi namuonea huruma, maana sio muongeaji. Huyo mwanamke inaonekana alificha makucha yake wakati wa uchumba, lakini cha kushangaza siku ya harusi wazazi wa mwanamke walimtahadharisha jamaa na wakamwambia kuwa mkewe ni jeuri hivyo asisite kumshikisha adabu pale atakapokuwa mkorofi, tulidhani ni utani bwana, baada ya miezi sita yale yaliyosemwa yakaanza kujionyesha..
Sisi wenyewe tulishangaa, tulidhani labda waliongea vile kwa sababu ya kilevi, si unaelewa mambo ya sherehe!! Halafu mbaya zaidi kauli hiyo ilisemwa na wazazi wote wawili, hasa mama wa binti ndie alitia msisitizo!Dah!! Kwahiyo huyu mwanamke ana tabia ya ujeuri kiasi kwamba hadi wazazi wanaimfahamu vizuri na walimtahadharisha jamaa
siku ya harusi wazazi wa mwanamke walimtahadharisha jamaa na wakamwambia kuwa mkewe ni jeuri hivyo asisite kumshikisha adabu pale atakapokuwa mkorofi ...
Kuna kipindi jamaa huwa anafungiwa mlango analala sebuleni akichelewa....hii niliipata kwa hausigeli baada ya kumdadisi wanavyoishi.
Hayo yote unayoshauri dada Afro yalishafanyika, ila mke kawa kichwa ngumu!