PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Hamna kitu kama hichoNipe namba yake nimpe hai
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sawa sawa chiefwala humwonei, huo ni ulimbukeni kwani akionekana kwenyemitandao kunachangia nini? kikubwa we mwambie sikupost kwasababu mapenzi yangu si ya mitandao akiona ni kosa kubwa basi achukue hatua stahiki atakazoona zinafaa mie nilikuwa na case ka yako na niliitatua kibabe tuu
Ni visanga tu chief
Asante kwa mchangoMkuu kwan usipompost huwa kuna nn kinhine unapost.? Umeji expose mwenyewe katika swala hilo muache alalamike
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha siasa, mpost mtoto Dunia ijue anapendwa.
Uko moyon nani atamuona sasa????
Acha habar za kizaman
Asante kwa mchango chiefAcha siasa, mpost mtoto Dunia ijue anapendwa.
Uko moyon nani atamuona sasa????
Acha habar za kizaman
Okay, nimekusoma missKama huna cha kuficha mpost aridhike
Mapenzi kuridhishana buana
Asante sana chiefMapenzi yana kila aina ya mikasa. Pole mtoa mada
Kabisakupostiana bila sababu za msingi ni utoto kabisaas
Vunga tuNingeandika neno, ila ni vile tu sitaki ugomvi na feminists!