Anakaa kimya, nikimtafuta tu kizinga hicho

Anakaa kimya, nikimtafuta tu kizinga hicho

it is you ,who should look for help. Wanaume huwa wanachagua maneno ya kuongea....hapo wewe ndiye mwenye matatizo makubwa. Hata mimi sina shida ya kuongea na wewe....nilikujibu kwasababu ulini quote

Mh!?
 
Siku unampigia,akianza kupiga mzinga,mwambie unaumwa umelazwa ukutumie laki tano utamrudishia ukipona.......uone ka hatoki nduki mwenyewe.............
 
Daah " ebwana umegusa penyewe, kuna kidemu hakipigi sim, nikikpgia tu utasikia afadhali luv yan hapa nna njaa kwel yani, kama umejua vile. Bac mi nabaki kucheka tu.
 
Hivi nyie kina dada wa mjini tena maeneo ya uswazi hii tabia mtaacha lini,
mkioneshwa kupendwa mnaleta mapozi utadhani mnatoka mboga Saba.

Simu hampigi hadi mpigiwe na mkipigiwa mnaanza kueleza shida zenu lukuki je usingepigiwa hizo shida ungeeleza saa ngapi.

Kuna haka kasichana kangu yani huyu msichana hapigi simu hatumi SMS, nikimtafuta tu atatoa sababu kibao na mzinga juu yani analeta usanii kwa msanii mwenzake
nina kama Siku 3 sijamtafuta hajanitafuta.

Leo namsalimia nakumbana na kizinga heavy ujue nawashangaa wanawake wa dizaini hii ya kuona kila mwanaume ni boya anatoa tu mpunga, sio kwa enzi za Magufuli wewe dada bora unione mwanaume suruali ila nimekuchoka.
Ikimaliza kucheka natoa hoja
 
Ilitakiwa uandike kitendawili:Ana kaa kimya nikimtafuta kizinga,NA jibu lake HAKUPENDI...
 
Kweli kabisa,kuna binti yeye.Ukimpigia anaanza Nywele zimetimka,mara nyama choma sijala siku nyingi,Mara njaa inauma,mara Bando langu linaisha kesho Yaani ni full mizinga.Naona bora na mimi nikae kimya tuu,siwezi kwa hali hii
 
Back
Top Bottom