Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,496
- Thread starter
- #21
Umewaza kama mimi, japo sentensi zetu zingetofautiana kidogoHapo anajikinga na korona na madeni
Ni Spiderwoman.
Huenda alijikwaa na kuanguka, atakuwa hata haoni ipasavyo anakoenda.
Kwani lazima kupumua?.Anapumuaje
😃😃Hapo anajikinga na korona na madeni
Hata haendi mbali atachukua usafiri si unaona mabegi hayoHuenda alijikwaa na kuanguka, atakuwa hata haoni ipasavyo anakoenda.