Anajifanya bab kubwa nimfanyeje...?

Aisii hii story imenigusa sana. Nikwambie kitu dear hawa wanaume waone hivyo hivyo.
Wewe bado masichana mzuri tena sana kuna watu wanakutamani ile mbaya, huyu jamaa asikukoseshe amani mwache aende kwa hao wanawake zake mtoto mmoja si issue bana, kama hapendeki piga chini. Miaka sita anakuletea dharau? Omba mungu atakusaidia,

Kwasasa tulia kwanza usiwe na mtu akili ipumzike.
Regards
DA
 
"hujui uko kwenye competition"?..

Pole sana sweetdada! Yaani mimi kilichoniudhi ni hayo maneno hapo juu kwenye red..!! Hiyo ni dharau sana kubwa sana! Inaonekana anaona kama huna pa kwenda, so inabidi umbembeleze, otherwize anaweza kuchukua wengine......!! Mambo ya kupangwa foleni mimi sitaki kabisa......:A S 13::A S 13::A S 13:
Ushauri wangu, kweli inabidi tu uongee naye akueleze ana mpango gani na wewe? Muombe Mungu akusaidie katika maamuzi yako.

Kila la heri!
 
inaniuma na kuniogopesha sana?
Bora ule kona mapema, mpano uwe hivi:
1.Mzushie jambo baya sana kwa shoga yako wa ukweli (huyu atakupa moyo hata kama wewe ndio tatizo)
2.Kamtibue makusudi ili akuwakie na ikibidi atukane theni kula kona kabisa.(ukitimliwa ni vigumu kurudi kuliko kujiondokea mwenyewe)
3.Jiapize hutapokea simu yake na wala hutampigia (ukiweza hili hapo umeshamwacha)

UKIENDELEA KUKAA NAYE HUYO NI SAWA NA KUAHIRISHA MSIBA KAMA KUFA MTU KESHA KUFA.
 
duh,sikuwezi.....:A S 13::A S 13:
 
Huu ushauri kiboko.....:A S 13::A S 13:
 
kina dada mko na hasira kweli kwenye hii sredi. nasubiria mpunguze munkari nimpe sweetdada konklusheni. au nazani nitamPM kwavile hapa temperature za kina mama zinaonekana kurise direct proportional na number of posts.
 
kama anaona wanaomfuata ndo wazuri kukilko ww mp[e go ahead ila kwa ninavyojua cc wanaume atarudi tu mapenzi yakiingia moyoni yameingia tu anajisumbua bure
 
Ongea nae mwambie kuwa hupendi hiyo tabia.
Umempendezesha kaka wa watu sahivi anang'aa vidada vinamendea. Lol!
 
inaniuma na kuniogopesha sana?
Bora ule kona mapema, mpano uwe hivi:
1.Mzushie jambo baya sana kwa shoga yako wa ukweli (huyu atakupa moyo hata kama wewe ndio tatizo)
2.Kamtibue makusudi ili akuwakie na ikibidi atukane theni kula kona kabisa.(ukitimliwa ni vigumu kurudi kuliko kujiondokea mwenyewe)
3.Jiapize hutapokea simu yake na wala hutampigia (ukiweza hili hapo umeshamwacha)

UKIENDELEA KUKAA NAYE HUYO NI SAWA NA KUAHIRISHA MSIBA KAMA KUFA MTU KESHA KUFA.

sidhani kama ni vizuri kuachana kwa mikiki hivyo.
 
kina dada mko na hasira kweli kwenye hii sredi. nasubiria mpunguze munkari nimpe sweetdada konklusheni. au nazani nitamPM kwavile hapa temperature za kina mama zinaonekana kurise direct proportional na number of posts.

Mmh..hivi kwani amesema anahitaji klorokwin???!!!

Karibu............
 
hapo penzi limechakachuliwa mama,,, anaonekana ni mwenye tamaa ila anakupenda ndo maana haishi kurudi kwako ,,,,, komaa naye labda atabadilika...
 
WanaJF naombeni maoni au ushauri nifanyeje kuhusu hili.

Niko kwenye uhusiano wa miaka 6 sasa na nimezaa na huyu kijana,ninampenda sana na yeye analijua hilo,tatizo ni kwamba kwa muda wote huu he was okay,ila sasa hivi amebadilika anajiona bab kubwa kisa wanawake wanamfwata so hemost of the times compares me na hao wanawake wanaomtaka kimapenzi,imefikia point kama nikifanya kitu hajapenda anadiriki kunambia kuwa "hujui uko kwenye competition"?..sasa hii tabia kwa kweli siipendi.
Nikiamua kumkalia kimya anasema ooh una mtu ndo mana unaniignore,sijui nimfanyeje huyu mwanaume kwa kweli..kuoa hana dalili kila leo kuna jambo,ilikuwa mpaka amalize kusoma sasa hivi mpaka amalize kujenga.nikimuacha anarudi.
nashindwa kumuelewa.je nimuache,nimfanyejee?nikiongea nae anasema napenda kulalamika..dont know what to do..nishaurini tafadhali

Duh, dadasweet pole sana.
Jaribu ulinalo wapo wengine wanapitia pia. Ni wakati wa wewe kuamua kuhusu maisha yako bila kuzungushwa na mtu ambaye inawezekana hata hajijui mwenyewe....Mungu atakupa njia ya kutokea kwenye hilo jaribu ukiamua kumwómba toba na msaada.
Kuna jamaa nafahamu amezaa na rafiki yake sijui mchumba! wana two kids but vurugu kila siku mara ndoa inakuja haiji kesho keshokutwa.
Jamaa anapiga dana dana na wademu wengine.

Mlango moja ukifungwa Mungu ufungua mwingine usihangike huo uliofungwa tafuta mwingine uliofunguliwa unakusubiri.
 
Mmh..hivi kwani amesema anahitaji klorokwin???!!!

Karibu............
kwa situation ya huyu dada ni lazima atahitaji tu. unajua mkisoma vizuri post yake hapo kwenye maeneo ya competition nadhani tunaweza tukapakarabati ikawa two ways competition na hiyo itakuwa ni suluhu ya kudumu kabisa. kama umesomea sheria&law utaelewa hapa naongelea nini.
 
Mhhh....haya bana! Mimi sheria sijui.....kila la heri na huduma yako!
 
yani nimeumia sana na hii post hata sijui nishauri nini
ila KAMA INGEKUWA MIMI ..ningechukua glass ya maji na kuibariki kisha kuongea maneno haya BWANA NIEPUSHIE MBALI NA NIMSAHAU HADI KUFA,then nikanywa yale maji yani kama yalivyoenda na kuisha kwenye glass ndivyo na yeye apotee hivyo.
unajua bwana we can advice lakin mapenzi ni radiculous thing hatujui huyu bint kampenda mshikaji kiasi gani na kuachana na mtu uliye mzoea for six years its somehow exams ila kaza moyo yakufasa kufanya hivyo dada ili kupata amani ya moyo.
i guarantee you that the men is not yours dont force it .......its just peace of advce leave him soon.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom