Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,558
- 41,321
Wameletewa wachezaji nyumbani ila wao wameanza kusajiri haraka haraka kwa wachezaji wanaowajua wao wa kubahatisha huwa hawataki kuchukua cream mimi hao nawajua sana na ikiwa cream hawataki kukaa nayo kwa sababu hawana pesa za kuwalipa wachezaji bora kwa sababu mchezaji bora anakaa popote ili mradi umlipe vizuri tu sio kubahatisha..Kweli kabisa kaka, na kwa namna hii tusahau kuhusu ubingwa wa caf champions league.