Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,843
- 7,250
Aisee hii ni beki ya kushoto kutoka Guinea inakiwasha kinoma leo kakiwasha sana game ya SA vs Guinea. Aisee Simba sports club please mleteni huyu jamaa
Wewe ndio muweka hazina wa simba mkuu?Simba haina pesa mwaka huu!
Labda aletwe kwa mkopo!
Huyo sasa kazidisha sifa hahaKuna mwenzako tayari ameshaanzisha uzi mwingine wa kumhusu beki wa aina hiyo hiyo. Anaitwa Hernest Malonga! Unaambiwa tangu kuubwa kwa huu ulimwengu, simba haijawahi kuwa na beki wa kushoto mwenye sifa kama huyo Malonga.
Kweli mkuu yuko vizuri.Mashine ingine ni danja naona anacheza kama winger wa niger.jamaa anajua sanaa
Hujakosea mkuu, simba wenyewe ni ngonjera za mitandaoni za kina ahmed ally kuwajaza wachezaji wabovu sifa tuu kuliko uhalisia wenyewe, wanasajili wachezaji wabovu kwa maslahi yao wenyewe.Pamoja na kuwa mwanasimba lakini nikiri wazi kuwa wenzetu yanga wako vizuri linapokuja suala la usajili
Hujakosea mkuu, simba wenyewe ni ngonjera za mitandaoni za kina ahmed ally kuwajaza wachezaji wabovu sifa tuu kuliko uhalisia wenyewe, wanasajili wachezaji wabovu kwa maslahi yao wenyewe.
Kabisa mkuu tujiandae kisaikolojia uto atatubonda mpaka mara 100 non stop, uongozi wa simba ni fuvken kabisa sijui wana malengo gani na hii timu, uyu kanjibai nae ni taraabu tuu mitandaoni hamna kitu. All in all tunaoumia ni sisi mashabiki.Mkuu mpaka Sasa timu yangu ya Simba nasikia inasajili lakini kwangu Mimi ukiniuliza nitajie wachezaji ambao wamesajiliwa na Wana hadhi ya kucheza Simba naona kidogo sowah na yule beki wa mamelod Hawa wengine kwakwel tujiandae kisaikolojia
Janja janja ni nyingi mno toka ile siku yule kiongoz aje na manzoki na kutujaza upepo kuwa ameshasajiliwa na mwisho wa siku yakatokea yaliotokea toka hiyo siku sijawahi kuwa na Imani na uongoz wa Simba nawaonaga Kama watu flan ambao hawako serious.Kabisa mkuu tujiandae kisaikolojia uto atatubonda mpaka mara 100 non stop, uongozi wa simba ni fuvken kabisa sijui wana malengo gani na hii timu, uyu kanjibai nae ni taraabu tuu mitandaoni hamna kitu. All in all tunaoumia ni sisi mashabiki.
Simba au yanga mmoja aweke mizigo paleKweli mkuu yuko vizuri.
Simba wanachungulia sana hela plus uhuni mwingi labda yanga.Simba au yanga mmoja aweke mizigo pale
Ndio hivyo mkuu hatuna jinsi.Janja janja ni nyingi mno toka ile siku yule kiongoz aje na manzoki na kutujaza upepo kuwa ameshasajiliwa na mwisho wa siku yakatokea yaliotokea toka hiyo siku sijawahi kuwa na Imani na uongoz wa Simba nawaonaga Kama watu flan ambao hawako serious.
Ni vile Basi tu lakini Sina uhakika Kama wanajua maumivu tunayopata mashabiki.
Kweli kabisa kaka, na kwa namna hii tusahau kuhusu ubingwa wa caf champions league.Hizo Timu hazichukui wachezaji wazuri mnaowaona baadae utasikia kavalishwa jezi mcheza muziki kutoka DRC na kusajiriwa hawa wachezaji ambao wapo sokoni kila mtu anamuona wao hawawataki kuwakagua..
Jamaa anajua sana aisee, ile timu ya guinea inawachezaji wengi wazuri.Jana alikuwa kwenye kiwango bora