jamani kwani kuzaliwa pamoja ndio kusaidiana ????wengine ni maguinia ya maviati hata ukilisaidia haliendelei mbele linabaki kusema kaaka yangu ni raisi wa dunias tupa kule???
Wapenda vya dezo hao. Je, asingelikuwa Rais wangemfuata? Je, kabla ya kuwa mtu maarufu walimtafuta kama ndugu yao, hao ni wala mbivu wananiudhi ile mbaya. Barrack aliwajibu sawa. Hili ni fundisho kwetu kuwa ni lazima kumtunza mtoto kumzaa tu haijalishi.
Au ndio maana anakwepa kwenda kenya kwakuhofu kua watajitokeza watu kama George kudai ni jamaa yao? ila jamaa ni(Btrack) ni mxenzi wa tabia kama sio damu yake!!!