Nafasi hii najitokeza natafuta sugarmamy sasa hv mapenzi na vijana wenzangu sitaki maana ake kuumizana vichwa nimechoka. Nataka kutulizana na SugarMamy aliyetayari tukutane PM.
Hivi hayo mashugamamy wanauza wapi? Kama yanapatikana niijie na ya buku mbili ela ntakupa ukiniletea maana inaelekea ni matamu balaa kila mtu anayatafuta
Umeshindwa kujilea unataka wakulee, sisi tulingangana na hao usiowataka leo bado tuko wote , rahaaaaaaaaaaa eeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.