Anahitajika Secretary (Karani) haraka

Anahitajika Secretary (Karani) haraka

Dr King Suleiman

New Member
Joined
Jun 22, 2025
Posts
1
Reaction score
0
AJIRA AJIRA AJIRA

Aslaam Aleyku 🙏

Anahitajika Secretary (karani) Mwenye Sifa zifuatazo.

Umri: Usizidi miaka 35

Ujuzi:Awe amesomea u secretary(u karani)Mwenye ujuzi wa computer vizuri.

Jinsia: Mwanamke.

Anapoishi Dar es salaam kwa maana Ofisi zipo Toangoma Dar es salaam hivyo awe karibu na Ofisi.

Sifa ziada:Awe msafi,mwenye Adabu, Heshima na mtiifu,Awe mcha pakazi mwenye Hofu na Allah.

NB.MSHAHARA NI KUANZIA 200,000/= KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0718157725.
 
Back
Top Bottom