Watu kweli people.
Umeambiwa kujitolea hujaambiwa kuajiriwa.
Watu wengi tunajua ukijitolea hulipwi, na sehemu zingine hata posho hupewi. Mleta uzi amesema anatoa posho ya 150K kwa ajili ya KUJITOLEA siyo KUAJIRIWA.
Mimi naona ni fair. Kama unahisi ni unfair basi unamcheki mleta uzi na kupendekeza deal mpya kama akuongezee au atakava mahali pa kuishi na nauli.
Negotiation skills.