Anahitajika muuzaji wa duka la Dawa- Singida

Anahitajika muuzaji wa duka la Dawa- Singida

itagata

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
218
Reaction score
77
Anahitajika muuzaji wa duka la dawa aliyepitia mafunzo ya TFDA ambaye anaishi ndani ya Manispaa ya Singida. Kama kuna mtu mwenye sifa hizo ani PM ili nimpe maelekezo zaidi na tukutane nae ili aanze kazi.
 
Hujaambiwa amekaa bila kazi miaka minne. Bali ana uzoefu wa kufanya kazi miaka minne. Nahisi hukuelewa.
Wewe pia hujanielewa

Uzi umeletwa miaka minne iliyopita(2013)

Unadhani ndani ya miaka yote hiyo mleta uzi bado hajampata tu wa kumuuzia duka?
 
Wewe pia hujanielewa

Uzi umeletwa miaka minne iliyopita(2013)

Unadhani ndani ya miaka yote hiyo mleta uzi bado hajampata tu wa kumuuzia duka?
Kweli hapo mimi ndo sijaelewa
 
Back
Top Bottom