Anahitajika Muuza Duka la Dawa

Anahitajika Muuza Duka la Dawa

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,255
Reaction score
8,027
Tunahitaji muuzaji duka la dawa za Binadamu, Tuko Mtoni Mtongani, jijini Dar es Salaam.

Mwombaji anatakiwa awe na elimu ya kidato cha NNE, mafunzo ya mwaka moja ya utoaji dawa na awe na cheti kutoka Mamlaka ya Dawa na Chakula (TFDA).

Karibuni.
 
Mshahara kiasi gani?
 
Vip hauitaji mfanya usafi mkuu?
 
nina dadangu kasomea mambo hayo ya kuuza duka la dawa,ila kutokana matatizo ya kifinancial hakufanya pepa,je hapo mkuu unasemaje
 
Soma vigezo mkuu!
 
Tunahitaji muuzaji duka la dawa za Binadamu, Tuko Mtoni Mtongani, jijini Dar es Salaam.

Mwombaji anatakiwa awe na elimu ya kidato cha NNE, mafunzo ya mwaka moja ya utoaji dawa na awe na cheti kutoka Mamlaka ya Dawa na Chakula (TFDA).

Karibuni.

Nina mdogo wangukamaliza form four kasoma nursing Assistant miaka miwili ila hana cheti cha TFDA
 
250000/=, chakula na usafiri ofa.
wenzio tunawalipa laki nne. hiyo hela ndogo sana aisee. na kama ana cheti cha tfda na unamlipa hiyo hela huoni kama akija wa laki nne atahama bila kuaga? na, hao wenye vyeti vya tfda wanajiamini sana kwasababu hata wao wanaweza kufungua duka la dawa muhimu wakaendelea kuuza duka lao.
 
Back
Top Bottom