Bexb
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 734
- 1,648
Habari ya jioni wakuu. Natoa tangazo hili kwa niaba ya kampuni inayomilikiwa na wageni wa kutoka China, inayojihusisha na huduma za utengenezaji magari iliyo na ofisi zake Mikocheni, industrial road jirani na TPDC.
Anahitajika muhudumu wa ofisi kwa ajili ya kufanya majukumu yafuatayo:
1. Kupokea na kuwasikiliza wageni.
2. Kuandaa nyaraka ndogo ndogo za kiofisi zinazowahusu wateja.
3. Kushughulikia, kupanga na kuweka unadhifu wa eneo lake la ofisi.
3. Kutekeleza majukumu mengineyo yanayohusu nafasi yake kama atakavyopangiwa na msimamizi wake.
VIGEZO VINAVYOHITAJIKA
1. Awe binti
2. Awe na uzoefu wa huduma kwa wateja.
3. Aweze kutumia computer kwa level ya kawaida kwani kumbukumbu za ofisi huhifadhiwa katika Computer
4. Mwenye kuweza kuwasiliana kwa ukamilifu kwa lugha ya kiswahili na kiingereza kiasi.
Kama unakidhi vigezo husika nitumie wasifu wako WHATSAPP (CV) kupitia namba 0679861325 USIPIGE SIMU TAFADHALI.
🤝Mshahara ni laki tatu tu kwa mwezi (Tsh 300,000/-)
🤝Muda wa kazi ni saa mbili asbuhi hadi saa kumi jioni
🤝siku za kazi ni jumatatu mpaka jumamosi
🤝Usaili utafanyika jumamosi ya tarehe 2 Agosti, 2025 kwa wale watakaofuzu/chaguliwa.