bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,682
Kama kicha habari inavyosomeka hapo juu.
Nahitaji mtu mwenye uwezo na ujuzi wa kufanya yafuatayo:-
1: video shooting and editing.
2: graphics designing.
Ni kwa ajili ya production ya kipindi cha TV, awe anakaa Dar es salam kama ni mtu wa mkoani basi awe tayari kuhamia dsm ila awe na sehemu ya kuishi.
Hii siyo ajira kwa maana ya kuajiriwa nitafanya nae kazi kwa makubaliano ya commission kulingana na mikataba nitakayoingia na vituo vya tv.
ANGALIZO:
Hakikisha ni mtu wa kujituma kufanya kazi kwa moyo mmoja na usiwe na tamaa ya maisha mno maana mambo mazuri hayataki haraka.
Mawasiliano
0719666099