Anahitajika mtu wa kuingia nae ubia kwenye kilimo

GREGO

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
4,280
2,900
Habari wanaJF
Kuna mzee ana shamba anahitaji mtu wa kushirikiana nae kulima (Mtu huyo ataweka mtaji), mzee atatoa shamba. Shamba hilo lina kisima in case mvua ikikosekana.
Shamba liko Bagamoyo (Yombo)
Kama uko interested niPM nikuunganishe nae.

Ahsante
 
Shamba liko wapi...Bahamoyo...!!!!Au Bagamoyo(yombo).....??!!!...fafanua Tafadhali..???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…