Anahitajika mtaalam wa IT

Anahitajika mtaalam wa IT

Irenee

Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
12
Reaction score
48
Wakuu nahitaji mtaalam wa IT , kuna kazi hapa ya online business
Sifa zake....
1.awe na laptop yake
2.awe mtanzania wa mkoa wowote
3.asiwe na kazi nyingne na
4.umri kuanzia miaka 20 hadi 28
Mshahara..,...50% ya mapato ..
Njoo PM kama upo tayari....
Au email ...irenebby8@gmail.com
 
Ujue IT ni pana sana . ... hebu fafanua vizuri unaitaji mtu alie fit nafasi gani.
1. Programming
2. Database
3.network
4. Web design
5 . Computer maintainance
6 . Data science
7. Security
8. Artificial intelligence
9. Multimedia & Graphics
10. System analist

Nk.

Fafanua, wewe kazi zako inahitaji nn hasa
 
Wakuu nahitaji mtaalam wa IT , kuna kazi hapa ya online business
Sifa zake....
1.awe na laptop yake
2.awe mtanzania wa mkoa wowote
3.asiwe na kazi nyingne na
4.umri kuanzia miaka 20 hadi 28
Mshahara..,...50% ya mapato ..
Njoo PM kama upo tayari....
Au email ...irenebby8@gmail.com

Knowledge Ghani ya IT maana mm IT ulimwengu mzima naweza Kuja na Laptop kumbe kazi yenyewe Office automation ; Kazi ya Online - mhh elezea tuje na Modem Kabisa isije ikawa kazi yakudownload Movies na Audios
 
Umeanzisha thread then unakaa masaa 4 hujapitia thread yako.
 
kama mshahara ni 70% ya mapato sema nije hiyo kazi ya online unayotaka kumpa mtu wa IT huenda anaifanya toka kitambo
 
Mimi ninasifa hizo ila maelezo yako hayajitoshelezi fafanua kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom