Mshawa JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 787 Reaction score 325 May 11, 2012 #1 Mahala pa kazi ni hapa Tanzania, mshahara wa kuanzia ni 2 million, pamoja na usafiri na malazi, awe na driving licence, awe pia na uzoefu wa miaka 2 katika kazi hiyo, awe na at least B. sc animals breeding na kuendelea...
Mahala pa kazi ni hapa Tanzania, mshahara wa kuanzia ni 2 million, pamoja na usafiri na malazi, awe na driving licence, awe pia na uzoefu wa miaka 2 katika kazi hiyo, awe na at least B. sc animals breeding na kuendelea...