Anahitajika Msichana mchapakazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anahitajika Msichana mchapakazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Chibidu, May 29, 2012.

 1. Chibidu

  Chibidu JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Natarajia kufungua kitegauchumi maeneo ya Mbezi Louis. Kitegauchumi hicho kitakuwa kinahusika na kuuza stationeries, photocoping, typing (Business Plans, projects, etc.), cards designing, kuuza electronic vouchers na kadhalika. Hivyo natafuta msichana mwaminifu na mchapakazi aliyesomea secretarial course na hasa anayejua kutumia computer vizuri ili kufanya kazi nilizotaja hapo juu. Kama uko tayari ama una ndugu yako, nitumie PM ili niweze kukupa maelezo zaidi. Ni vizuri mtu huyo awe anaishi maeneo ya Mbezi Louis au maeneo ya karibu na huko. Hii ni taarifa/Tangazo, sio mahali pa majadiliano. Ukinitumia PM tutajadiliana vizuri. Karibu
   
Loading...