Ni pm nina vigezo vyote 100%...Sitaki utani.
Ni pm nina vigezo vyote 100%...Sitaki utani.
mashallah, je endapo nitaslim?
kwa wembamba hapa nimekosa coz me niko na mwili but wa kimazoezi zaidi , coz nami natafuta mwandani
sasa na wewe watoto wakianza kukuandikiakiarabu utaweza? (madrasa)utanikumbuka lakini ujue.... mm nilitaka kukupa penzi la dhati
madem wengine mnashida wewe unaisi kunamwanaume mwenye hivyo vyote atakae umiza kichwa kutafuta mwanamke kama wewe.........bora uoelewe na kabwela mwenzako saab mwanamke anaejielewa haumizi kichwa kuanza kutafuta vitu vyote kama hivyo we unaisi mtu mwenye degree ndo atakulea...you are crazy and ignorant as *** ko ushauri wangu jiajili af hakikisha unapomueleza mwanaume sifa zako sio akuonee huruma ...putahabari waungwana,,,anahitajika mchumba mwenye haya yafuatayo:
- awe muislam na mwenye imani ya dini
-kuanzia miaka 30 up to 40
-mwenye malengo hasa ya kuwa na familia na kuwa na kizazi chema
-mwenye kujitambua na akili za utu uzima na kujua nn maana ya ndoa
-mfanyakazi kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe
- mrefu kiasi,mwembamba kiasi
sifa za mwanamke ni;
- degree
- mfanyakazi(ameajiriwa)
-miaka 30
-muislam na mwenye imani ya dini
-mfupi kiasi na si mnene sn,mweupe kiasi.
* DINI IZINGATIWE
* ANAEFAA AJE PRIVATE.
Kula likeNipo Tayari mimi hapa,am 42,nimeajiriwa private sector,nina watoto wa 2 na mke tuliachana,urefu 5ft 13 inches,si mwembamba si mnene!mi muislamu,naomba usini pm unijibu hapa hapa kama nimefanikiwa ili baadaye tuhamie pm!maana nimezidi miaka miwili!
habari waungwana,,,anahitajika mchumba mwenye haya yafuatayo:
- awe muislam na mwenye imani ya dini
-kuanzia miaka 30 up to 40
-mwenye malengo hasa ya kuwa na familia na kuwa na kizazi chema
-mwenye kujitambua na akili za utu uzima na kujua nn maana ya ndoa
-mfanyakazi kuajiriwa au kujiajiri mwenyewe
- mrefu kiasi,mwembamba kiasi
sifa za mwanamke ni;
- degree
- mfanyakazi(ameajiriwa)
-miaka 30
-muislam na mwenye imani ya dini
-mfupi kiasi na si mnene sn,mweupe kiasi.
* DINI IZINGATIWE
* ANAEFAA AJE PRIVATE.
fanya kuntumia whatssap no kwa inboxWewe itabidi uje kwangu.....