Anahitajika kijana wa Salon, Arusha!

Anahitajika kijana wa Salon, Arusha!

Joined
Aug 31, 2021
Posts
66
Reaction score
127
Tunahitaji kijana mwenye uzoefu wa kunyoa salon ambaye atapatikana Arusha mjini ili mara moja aanze kazi! Anatakiwa ajue kuongea kiingereza kwa ufasaha kwa kuwa wateja wa Salon yetu wengi ni wazungu na wahindi na lugha inayotumiwa mara zote ni kiingereza.

Tunaweza kujadiliana kuhusu mshahara na posho, pia kama hana pa kukaa tunaweza kuona namna ya kumsaidia. Please check on me if you are there, and the explanations here best describes you!
 
Back
Top Bottom