Anahitajika haraka msichana wa kazi Dodoma

elimuplatform

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,054
462
Msichana wa kazi anahitajika Dodoma mjini.kazi ndogo ndogo za usafi pamoja na kupika. Kwa anayehitaji aje PM
 
Msichana wa kazi anahitajika Dodoma mjini.kazi ndogo ndogo za usafi pamoja na kupika. Kwa anayehitaji awasiliane na namba hii 0658-154647
Hivi ni Mimi ndo slow learner au wengine wana comments tuu
Hivi We we ndo unahitaji msichana wa kazi ili afanye shughuli ndogo ndogo Au MTU akihitaji wewe Unawapatia,
Sababu Umeandika Anahitajika Msichana was Kazi... Meaning kuwa We we unahitaji...halafu unaseme Kwa anaehitaji Akutafute kwa namba ....
Ni Mimi tuu ndo Sijakuelewa Au???
 
Anahitajika na ndugu yangu
 
Mimi yupo lakn a nahitaji mshahara 780000 mana ana digree moja ya uchumi
Haaa!!!huo mshahara basic bila makato.Unajua huku kwetu hizi kazi wanazikimbia kutokana naaslahi kuwa madogo,ila ungetengenezwa utaratibu mzuri graduate wengi wangepiga hizi kazi ili kutafuta mitaji.Maana ukiwa unalipwa 100,000 kwa mwezi kula &kulala kwa boss,Kwa mwaka unaweza unaweza weka saving zaidi ya 500,000.Kuliko kukaa hivihivi home ni bora mtu asiye na kazi amtafute jamaa ambapo mukielewana unapiga kazi kikauzu.Kuna Dada alipata kazi ya maana baadae baada ya waajili wake kugundua kuwa ana degree waakaamua kumpeleka kwenye godown yao.
 
Back
Top Bottom