elimuplatform
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,054
- 462
Msichana wa kazi anahitajika Dodoma mjini.kazi ndogo ndogo za usafi pamoja na kupika. Kwa anayehitaji aje PM
Kama wewe upo inashindikana nini wao kuwepo. Au una maana smartphone unayo wewe tuUna uhakika humu wapo?
Ungefafanua ni kazi zipi anaenda kuzifanyaMsichana wa kazi anahitajika Dodoma mjini. Kwa anayehitaji awasiliane na namba hii 0658-154647
Usafi asubuhi.kupika basi hakuna shughuli nyingiUngefafanua ni kazi zipi anaenda kuzifanya
Edit uzi wako weka hayo maneno.Usafi asubuhi.kupika basi hakuna shughuli nyingi
Mahausi boy tupo pia ukihitaji..Msichana wa kazi anahitajika Dodoma mjini.kazi ndogo ndogo za usafi pamoja na kupika. Kwa anayehitaji awasiliane na namba hii 0658-154647
Hivi ni Mimi ndo slow learner au wengine wana comments tuuMsichana wa kazi anahitajika Dodoma mjini.kazi ndogo ndogo za usafi pamoja na kupika. Kwa anayehitaji awasiliane na namba hii 0658-154647
Mahausi boy tupo pia ukihitaji..
Wafungua geti
Anahitajika na ndugu yanguHivi ni Mimi ndo slow learner au wengine wana comments tuu
Hivi We we ndo unahitaji msichana wa kazi ili afanye shughuli ndogo ndogo Au MTU akihitaji wewe Unawapatia,
Sababu Umeandika Anahitajika Msichana was Kazi... Meaning kuwa We we unahitaji...halafu unaseme Kwa anaehitaji Akutafute kwa namba ....
Ni Mimi tuu ndo Sijakuelewa Au???
Wapo watoto wao wapo shulehauna ndugu mwenye mtoto wa kike?
Haaa!!!huo mshahara basic bila makato.Unajua huku kwetu hizi kazi wanazikimbia kutokana naaslahi kuwa madogo,ila ungetengenezwa utaratibu mzuri graduate wengi wangepiga hizi kazi ili kutafuta mitaji.Maana ukiwa unalipwa 100,000 kwa mwezi kula &kulala kwa boss,Kwa mwaka unaweza unaweza weka saving zaidi ya 500,000.Kuliko kukaa hivihivi home ni bora mtu asiye na kazi amtafute jamaa ambapo mukielewana unapiga kazi kikauzu.Kuna Dada alipata kazi ya maana baadae baada ya waajili wake kugundua kuwa ana degree waakaamua kumpeleka kwenye godown yao.Mimi yupo lakn a nahitaji mshahara 780000 mana ana digree moja ya uchumi