Anahitajika Fundi Milango & Frame za Milango ya Mbao

Anahitajika Fundi Milango & Frame za Milango ya Mbao

Nkuba25

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
2,374
Reaction score
13,097
Habari Wana Bodi

Natarajia kufungua ofisi/workshop kwa ajili ya kutengeneza Milango na Frame za Milango za Mbao.
Eneo: Goba njia panda nne - Dar es Salaam.

Hii ni ofisi/workshop mpya, kwa hiyo nahitaji/natafuta Fundi ambaye atakuwa anasimamia hizo shughuli. Huyo Fundi anatakiwa awe mzoefu wa kazi hizi.

Fundi ambaye yupo interested, naomba tuwasiliane inbox/PM.

Asante
 
Back
Top Bottom