Car4Sale ANAHITAJIKA: Fundi Bingwa wa Nissan X-Trail

relight

Member
Dec 30, 2015
24
2
Heri ya Mwaka Mpya 2016, WanaJF

Tafadhali naomba mnielekeze Fundi Bingwa Wa Gari za Aina ya Nissan Xtrail. Nipo Dar es Salaam
Tafadhali naomba mniwekee hapa Namba zao Tafadhali. Nitawashukuru Sana.
 
Mkiambiwa hizo gari kimeo mnasema sisi huwa hatufanyi service onana sasa
 
Heri ya Mwaka Mpya 2016, WanaJF

Tafadhali naomba mnielekeze Fundi Bingwa Wa Gari za Aina ya Nissan Xtrail. Nipo Dar es Salaam
Tafadhali naomba mniwekee hapa Namba zao Tafadhali. Nitawashukuru Sana.

Najua fundi ila yupo Arusha...Ni specialist alifanyiwa mafunzo ya ufundi na watengeneza Nissan uko ughaibuni
 
Najua fundi ila yupo Arusha...Ni specialist alifanyiwa mafunzo ya ufundi na watengeneza Nissan uko ughaibuni
Aiyaaa... Sasa anawezaje kunisaidia? Labda nikipata namba yake nimcheck kwa kumuuliza maswali..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom