Sung
Member
- Mar 2, 2019
- 40
- 21
Awé senior au entry level, awe na vyeti halali, ni kazi ya kujitolea yenye posho around laki 3 kwa mwezi. Kituo ni dispensary Mkoa wa Njombe wilaya Njombe mji wa Makambako.
Jinsia yoyote, umri wowote (asiwe mstaafu).
Kwa walio mbali, gharama za kufika na malazi ni juu yako mwenyewe.
Utaratibu kwa kuanza kazi ni kwamba utapeea mwezi mmoja kwanza wa matazamio kisha ndio utaingia kazini rasmi. Ndani ya huo mwezi mmoja unaweza pewa support ya kipesa kidogo ili kujikimu.
Kwa aliye tayari, karibu PM kupewa mawasiliano. Anayewahi ndiye anapewa kipaumbele.