Maruku Vanilla
Member
- Jun 14, 2010
- 63
- 43
Ninahitaji mtu mwenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kusimamia shughuli za Kilimo katika Shamba binafsi Mkoani Lindi:
E-mail: marukuvanillagmail.com
- Awe na ufahamu na maarifa juu ya kilimo cha mazao ya biashara ya muda mfupi na ya muda mrefu kama vile Ufuta, Korosho na Alizeti
- Awe na uzoefu katika kusimamia kazi za kilimo cha mazao ya biashara ya muda mfupi na ya muda mrefu kama vile Ufuta, Korosho na Alizeti
- Ajue kuandaa mpango na bajeti ya kazi za shamba, kugawa kazi na kusimamia na kuhakikisha mpango kazi unatekelezwa kikamilifu na kwa wakati ndani ya bajeti iliyoidhinishwa
- Awe na historia ya kusimamia kikamilifu na kwa mafanikio vijana wa shamba au watumishi wasiopungua 10 chini yake
- Asiwe na historia ya wizi, udokozi au udanganyifu katika kazi na jamii anayotoka.
- Awe na umri wa miaka kati ya 30-35
E-mail: marukuvanillagmail.com