Mimi naitwa Halima ni msichana wa miaka 19 Nasoma kidato cha tatu (form 3) hapa Arusha.... nimejitokeza kwenu kuomba ushauri
Mimi nina mpenzi wangu ambae yupo chuo kikuu, ana miaka 25... kutokana na upendo anaonionyesha sitamani tena kuendelea na shule... kwani nikiwa darasani muda wote namuwaza yeye tu
Nilicho penda kutoka kwa huyu BOYFRIEND wangu ni kua ananijali sana na ana pesa kwan kwao wanajiweza kifedha... ananionga sana PESA kwani nikitaka hela ya CHIPS KUKU hua ananipa, hela ya lotion, pafyumu na saloon hua ananipa kila mwezi kwahiyo sina shida na shule wala sioni umuhimu wa shule.
NAOMBENI ushauri wenu jamani.. niwaambie nini WAZAZI wangu ili wanikubalie niache SHULE ili niolewe na huyu MWANAUME nifaidi pesa zake na mali za nyumbani kwao
hahaaa zaman wakati nasoma wale wadada walikua wakisema nna mpenzi
yuko chuo, ie anasoma UD naona mmh hawa wamepata, wako level fulan yaani nilivyofika
chuo nilikuwa nacheka mie mwenyewe tu
huyo anahitaji cancelling ya kufa mtu. miaka 19 kwa kidato cha tatu nayo ni mingi mno khaaa! ndio maana anaona mizinguo darasa zima atakuwa kijeba yeye.
Haya mambo ya kukopi facebook yamezidi sasa.
Chuo nowdays si lolote mkuu kama msichana anajivunia kuwa na bf wakechuo kikuu aandike ameumia!!