Abubakar Abdallah JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 274 Reaction score 170 Feb 1, 2018 #1 Kama mtu ana four ya 29 ya form four kuna fursa gani anaweza kuzifata.. Za kimasomo, pia ata kwa mtu binafsi....
Kama mtu ana four ya 29 ya form four kuna fursa gani anaweza kuzifata.. Za kimasomo, pia ata kwa mtu binafsi....
kauga JR JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 3,568 Reaction score 2,196 Feb 1, 2018 #2 Duuuuhhhh
Abubakar Abdallah JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 274 Reaction score 170 Feb 1, 2018 Thread starter #3 Ndio mkuu
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,116 Reaction score 5,370 Feb 1, 2018 #4 veta itamfaa zaidi, kuna mechanics, computer, udereva, ufundi chuma nk. fursa nyingine ni kuangalia uwezekano wa kurudia mtihani. Ya tatu ni baadaye
veta itamfaa zaidi, kuna mechanics, computer, udereva, ufundi chuma nk. fursa nyingine ni kuangalia uwezekano wa kurudia mtihani. Ya tatu ni baadaye
Abubakar Abdallah JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 274 Reaction score 170 Feb 1, 2018 Thread starter #5 ISLETS said: veta itamfaa zaidi, kuna mechanics, computer, udereva, ufundi chuma nk. fursa nyingine ni kuangalia uwezekano wa kurudia mtihani. Ya tatu ni baadaye Click to expand... Pamoja sana mkuu
ISLETS said: veta itamfaa zaidi, kuna mechanics, computer, udereva, ufundi chuma nk. fursa nyingine ni kuangalia uwezekano wa kurudia mtihani. Ya tatu ni baadaye Click to expand... Pamoja sana mkuu
K karyce Member Joined Feb 1, 2018 Posts 13 Reaction score 3 Feb 1, 2018 #6 jaman kama mtu ana D mbili mnamshauri nn
Kijana matata JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 603 Reaction score 307 Feb 2, 2018 #7 karyce said: jaman kama mtu ana D mbili mnamshauri nn Click to expand... Mkuu njoo pm nitakusaidia
O oscar mahinyila New Member Joined Dec 18, 2017 Posts 3 Reaction score 0 Feb 2, 2018 #8 Nataka kusoma pre form five individually (table teaching) naombeni ushauri wakubwa
Kijana matata JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 603 Reaction score 307 Feb 3, 2018 #9 oscar mahinyila said: Nataka kusoma pre form five individually (table teaching) naombeni ushauri wakubwa Click to expand... Njoo pm mkuu nitakusaidia
oscar mahinyila said: Nataka kusoma pre form five individually (table teaching) naombeni ushauri wakubwa Click to expand... Njoo pm mkuu nitakusaidia
D drilling JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 4,905 Reaction score 5,086 Feb 3, 2018 #10 kama upo dar nenda jengo la benjamin mkapa panda juu kuna universty abroad watakupa ushauri mzuri
S samsamwel Member Joined Sep 10, 2015 Posts 95 Reaction score 21 Feb 3, 2018 #11 Je ni chuo gani cha veta kizuri na cizi ipi iko narketable au yafaa kuchukua