mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,736
Juzi kaniambia ana changamoto kwenye mahosiano yake anaomba ushauri....![]()
bro watch out, usimpe attention sana this time! know why? atakugeuza kuwa “Mr. Problem solver”.. atakutumia kutatua shida zake akikosana na mshkaji then anarudi kwake.
Nilikua katika situation kama yako once, the only thing u can do now usimpe attention yako 100% (don’t settle for less), onesha kwamba she ain’t deserve ur attention, hii ita improve value yako.
Maadam ulishamuomba msamaha na anajua kabisa kuwa unampenda, hii inatosha, now get busy with ur stuffs and build urself up (tafuta pesa, pendeza, be confident) tunaita “increase your DMV (demand value) akuone kweli ni mtu tofauti.
ukianza kuonesha uko desperate sana umekwisha, atakupelekesha kama kiroba. Na atakutumia kwelikweli na utamkosa
